PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,027
25 Aprili 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8
Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea.

CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama MOVEMENT / VUGUVUGU 2025
A political movement is generally an informal organization and uses unconventional methods to achieve their goals.
anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
  • Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
  • Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025
  • No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
  • Wapinzani wasiiache No Reforms No Election
  • Wananchi wamekosa matumaini maisha ni magumu
  • CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM
  • CCM inabebwa na structures, miundo mifumo onayoikibeba
  • Vijana ambao ndiyo wengi wanaona kuwa matatizo yote ya kukosa ajira, masoko na maisha magumu ni sababu ya CCM
  • Ikiwa vijana wengi watajitokeza kupiga kura 2025, itakuwa balaa kubwa kwa CCM
  • Mkutano Mkuu wa CCM kuvunja katiba yake kuteua mgombea uchaguzi na mgombea mwenza ni ulevi wa madaraka
  • Kuna vipindi katiba inakanyagwa, wakati wa Mkapa tunajua majina 5 yaiingia Halmashauri Kuu kuchaguliwa
  • Jakaya Kikwete asingepita ikabidi Mkapa acheze mchezo na alisaidiwa na 'vyombo' majina matatu yakapitishwa Salim Ahmed Sal8m , Jakaya Kikwetw , Prof. Mwandosya
  • Samia Hassan asingepita kuwa mgombea wa CCM January, ilibidi 'vyombo' wafanye namna kuvunja katiba
  • Kuvunjwa katiba ina athari mtambuka inagusa Kidiplomasia, kiulinzi na Kisiasa
  • Ndiyo maana No Reforms No Election imepata nguvu
  • Tundu Lissu anaongea lugha inayoeleweka na vijana, na anatakiwa kupanua wigo akusanye makundi yote
  • Tundu Lissu na viongozi wenzake CHADEMA waongeze hamasa vijana wajitoke kukiunga mkono CHADEMA na wajitokeze kupiga kura
  • CHADEMA wazungumzie matatizo ya Wakulima, Wavuvi, wafugaji wanafunzi wa vyuo ili kugusa mahitaji ya kila kundi
  • Tunaangalia stratejia za CCM na Wapinzani
  • Marafiki zangu Lowassa, Bernard Membe, mwalimu wangu Kingunga Ngombale Mwiru walijitoa CCM walinipigia simu kabla ya kuhama na kuekezea sababu zao ..
  • Tumeandika katika sekretarieti ..

Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu, Mhadhiri mwandamizi ndani na nje ya nchi, Mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC kinachotoa mafunzo ya usalama -stratejia- ulinzi, mhadhiri Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usalama, Ulinzi, Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..
 
25 Aprili 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
  • Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
  • Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025
  • No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
  • Wapinzani wasiiache No Reforms No Election
  • Wananchi wamekosa matumaini maisha ni magumu
  • CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM
  • CCM inabebwa na structures, miundo mifumo onayoikibeba
  • Vijana ambao ndiyo wengi wanaona kuwa matatizo yote ya kukosa ajira, masoko na maisha magumu ni sababu ya CCM
  • Ikiwa vijana wengi watajitokeza kupiga kura 2025, itakuwa balaa kubwa kwa CCM
  • Mkutano Mkuu wa CCM kuvunja katiba yake kuteua mgombea uchaguzi na mgombea mwenza ni ulevi wa madaraka
  • Kuna vipindi katiba inakanyagwa, wakati wa Mkapa tunajua majina 5 yaiingia Halmashauri Kuu kuchaguliwa
  • Jakaya Kikwete asingepita ikabidi Mkapa acheze mchezo na alisaidiwa na 'vyombo' majina matatu yakapitishwa Salim Ahmed Sal8m , Jakaya Kikwetw , Prof. Mwandosya
  • Samia Hassan asingepita kuwa mgombea wa CCM January, ilibidi 'vyombo' wafanye namna kuvunja katiba
  • Kuvunjwa katiba ina athari mtambuka inagusa Kidiplomasia, kiulinzi na Kisiasa
  • Ndiyo maana No Reforms No Election imepata nguvu
  • Tundu Lissu anaongea lugha onayoeleweka na vijana, na anatakiwa kupanua wigo akusanye makundi yote
  • Tundu Lissu na viongozi wenzake CHADEMA waongeze hamasa vijana wajitoke kukiunga mkono CHADEMA na wajitokeze kupiga kura
  • Tumeandika katika sekretarieti ..

Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM)

Mbona kama mnywa gongo huyu Prof!!? Au kachizika!!
 
Sasa Lissu huo wigo atapanulia wapi wakati yu ndani na hukumu yake ndio ile inayosemwasemwa?
 
Natafuta okapi ya kuminya, (okapi knife with pressing button), hii nzuri kwaajili ya jitegemee sec., kuitumia ukipelekwa mwabepande ama ununio kwaajili ya ima faima, kikikiki
 
TOKA MAKTABA: 31 MARCH 2022​

Prof. Mihanjo : Hayati Magufuli Alikuwa 'PROGRESSIVE DICTATOR' , wengi hamjui alikuwa kiongozi wa mabadiliko na sasa 'kazi iendelee' baada ya ajali ......

CCM haiwezi kushinda 2025 kwa mazoea ya kutumia mbinu ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=btHIbMnmAiQ
uana mapinduzi una sifa zake lazima uweze kuamua mara moja, na usiwe na hofu hii ni stratejia ya mtu wa mabadiliko ..

Huwezi kuwa nyoronyoro huwezi kupata matokeo ... tumeanza kuona kwa Rais Samia Hassan amebadilika sana .....

Sasa kwanini 2015 tulimuhitaji Magufuli ..... John Shibuda, Dr. Slaa .... niliambiwa niende kule kwa Sugu na kule kwa Msigwa kujua kwanini majimbo hayo na mengine yalipotea na yalikwenda CHADEMA ... nikaandika paper baada ya kufika Mbeya, Iringa n.k

Nikakabidhi paper hiyo kwa katibu mkuu wa chama CCM ...anasema profesa wakati huo akiwa jeshini wizara ya ulinzi Chuo cha Taifa cha Ulinzi kama mkurugenzi wa mafunzo wakati huo jenerali Milanzi akiwa mkuu wa Chuo sasa ni balozi kule Afrika ya Kusini ...Commandant wa Navy, Commandant wa Air Force wote ma jenerali kuchapa paper mwenendo wa Magufuli katika mwaka mmoja ...

Miaka ile Nimeandika paper hasa kujibu mitandao hususan JamiiForums vinara wa kuangalia mienendo ya taifa letu ... asema Prof. Mihanjo...

Chini ya katibu mkuu Makamba Senior chama cha CCM kilipoteza mvuto ..ikabidi tukune kichwa kuja na sera zenye mguso... sera ambazo mawaziri wengi sasa hivi hawazielewi 2022 ... Prof. Mihanjo asisitiza

Prof. Mihanjo nataka nimwambie comrade Dr. Wilbrod Slaa ...
 
25 Aprili 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8
Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea.

CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama MOVEMENT / VUGUVUGU 2025

anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :
  • 2015 CCM ilikuwa ipotee
  • Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
  • Rais wa sasa aliyeingia kwa ajali, awe makini sana
  • Rais aliyepo atapitia wakati mgumu March 2025 - June 2025
  • No Reforms No Election ni Hoja kubwa sana
  • Wapinzani wasiiache No Reforms No Election
  • Wananchi wamekosa matumaini maisha ni magumu
  • CCM kuwa madarakani miaka 60 ni fursa lakini ni changamoto kubwa kwa CCM
  • CCM inabebwa na structures, miundo mifumo onayoikibeba
  • Vijana ambao ndiyo wengi wanaona kuwa matatizo yote ya kukosa ajira, masoko na maisha magumu ni sababu ya CCM
  • Ikiwa vijana wengi watajitokeza kupiga kura 2025, itakuwa balaa kubwa kwa CCM
  • Mkutano Mkuu wa CCM kuvunja katiba yake kuteua mgombea uchaguzi na mgombea mwenza ni ulevi wa madaraka
  • Kuna vipindi katiba inakanyagwa, wakati wa Mkapa tunajua majina 5 yaiingia Halmashauri Kuu kuchaguliwa
  • Jakaya Kikwete asingepita ikabidi Mkapa acheze mchezo na alisaidiwa na 'vyombo' majina matatu yakapitishwa Salim Ahmed Sal8m , Jakaya Kikwetw , Prof. Mwandosya
  • Samia Hassan asingepita kuwa mgombea wa CCM January, ilibidi 'vyombo' wafanye namna kuvunja katiba
  • Kuvunjwa katiba ina athari mtambuka inagusa Kidiplomasia, kiulinzi na Kisiasa
  • Ndiyo maana No Reforms No Election imepata nguvu
  • Tundu Lissu anaongea lugha onayoeleweka na vijana, na anatakiwa kupanua wigo akusanye makundi yote
  • Tundu Lissu na viongozi wenzake CHADEMA waongeze hamasa vijana wajitoke kukiunga mkono CHADEMA na wajitokeze kupiga kura
  • CHADEMA wazungumzie matatizo ya Wakulima, Wavuvi, wafugaji wanafunzi wa vyuo ili kugusa mahitaji ya kila kundi
  • Tunaangalia stratejia za CCM na Wapinzani
  • Marafiki zangu Lowassa, Bernard Membe, mwalimu wangu Kingunga Ngombale Mwiru walijitoa CCM walinipigia simu kabla ya kuhama na kuekezea sababu zao ..
  • Tumeandika katika sekretarieti ..

Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo na mhadhiri mwandamizi kama mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC, chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..

MTu mkubwa sana huyu historia yake hadi jeshini huko ipo.
Ila mshishangae mkasikia kama yale ya kibao wakati yeye katoa maoni yake tuu
 
Back
Top Bottom