Prof Chinua Achebe is dead

Prof Chinua Achebe is dead

Imagine! Sijui ni vitu gani vinavyo-create impact kwa kizazi hiki kama ilivyokuwa kwetu with great thinkers kama akina Nyerere, Achebe, Camara Laye, Ngugi nk - watu ambao walikuwa wana-shape thinking and patriotic culture of young minds! Sasa hivi tumefika pahala tunasikia serikali haina hata mitaala! Sad indeed!

Mkuu pole kwa kufiwa. Inasikitisha sana wasomi wetu siku hizi wako busy kusolve tu maswali ya mitihani; watapata wapi muda wa kuadimaya watu wenye fikra pevu kama akina Achebe? Teaching methodologies now days prepare our kids to answer and pass exams and not to impart them knowledge! Watamjuaje Chinua Achebe? Si unaona hata mods threads zote za kifo cha Chinua Achebe wamezihamishia "International Forum"! Yaani hata wao Achebe hawamfahamu na yumkini kifo chake hakiwagusi as a nation affair! Nahisi kama angalikufa nyakati zile pengine pangepangwa namna fulani ya maombolezo ya kitaifa japo mashuleni! Kizazi hiki kakiwezi katu kuelewa impact ya Chinua Achebe for anti-colonialism, African Nationalism, liberalization, African Art and Literature..... This "voda fasta" generation cannot recon the greatness of Chinua Achebe in African history.

R.I.P. ACHEBE THE GREAT! YOU WILL ALWAYS BE GREAT WITHIN AFRICAN HISTORY AND AFRICANISM!
 
Wale wapenzi wa riwaya tumeondokewa na mzee wtu mwalimu wetu alietusaidia kufikahapa tulipo na vitabu vyake mbali mbali mbali vikiwemo things fall apart nae si mwingine marehemu Chinua Achebe ;achebe ametutooka leo asbh hospitalin alipookuwa amelazwa ;marehemu ameaacha mke mmoja wa ndoa ya kikristo na watoto wa nne BWana ametoa bwana ametwaa jina lake libarikiwe;POlen wafiwa wote na mliohuzunika na msiba huu
 
Wawili wa kike wameshaolewa na wa kiume wameshaoa nisijeulizwa watoto wana ndoa?ndio
 
Ngugi.jpg
 
Mimi sijawahi kusoma kabisa hivi vitabu vyake... Ngoja namimi nivisake...RIP Prof. Achebe.
 
Brown University, where Mr. Achebe worked until he took ill
Western life attracted him more, he took his talents to America where he lived and died. Sad commentary for an "African hero" who wrote about the legacy of colonialism and Western hegemony.
 
R.I.P.mpaka leo nakumbuka jina la okonkwo,sijui kwenye Things Fall Apart
 
Wonderful novelist! R. I. P Papa. Ni majuzi tu nilikuwa naflick through Things Fall Apart. Very sad news.
 
Muwe mnaangalia basi thread walizoanzisha wenzenu kuepusha msongamano wa thread.Habari hii ipo hapa toka asubuhi..

umesema neno dada jamaa naona wanakurupuka kuanzisha thread nyingine bila kutazama habari zote sijuwi ni uvivu wa kusoma.
 
Sadly as it may appear, despite his many artistic achievements in literary world, Chinua Achebe will be remembered for a single book: "Things Fall Apart." It was a ceiling of his career that he had obliviously imposed upon himself and his failure to either melt or break that ceiling will remain a black dot in such an illustrious writing career spanning over four decades or so and boasting of more than 80 pieces of artistic masterpieces! WOW!!!!!!!!!!!!!

I hope history will do him justice by focusing on all his contributions in African literary world. May the Almighty God; CHRIST JESUS, grant to him his deserved place in the fleshly afterlife as He deems it fit and desirable!
 
RIP Prof. Vitabu vyako tumevitumia ktk English Literature. Namkumbuka character Amalinze the cat, his back never touches the ground. Alikuwa mwanamieleka mahili
 
Back
Top Bottom