Prof Chinua Achebe is dead

Prof Chinua Achebe is dead

Chinua-Acebe-010.jpg
RIP Chinua
The father of African literature,
 
Ntakukumbuka sana kwa kitabu chako nilichosoma pale mkwawa high school siku nyingi saanaaa...A man of the people,zaidi namkumbuka sana main character wa kitabu kile Chief nanga...

Yeah, uko sawa bila kumsahau Odili Samalu; raha sana zamani
 
Hii kweli ni Breaking news! Things have Fallen Apart for the world of Scholars are no Longer at Ease to have lost such an Intellectual by the Arrow of God.

I admire him SO much. May he Rest in Peace.
 
Hii habari si ya Kisiasa lakini umuhimu wake nadhani ingefaa sana kuachwa jukwaa la siasa ili ipate haki yake, sijui hawa "wapata zero" kama wanaendelea kusoma vitabu vyake au ndio washabadilishiwa wanasoma vya 'Nyambari' tu.
 
Nilikuwa na-search vitabu vyake Apple store sijavipata......ningependa niwe navyo electronically....msaada wandugu
 
kazi zinaendelea alizoacha mpambanaji wa riwaya na tamthilia.Rip Chinua Achebe
 
....,i'm on the domitory reading his "A man of the people"novel! God keep his soul in peace!
Hi! try to learn or continue learning "PARTS OF SPEECH" before going to "SPEECH....".On your post you had to write "IN THE DORMITORY".Keep on learning.
 
"God's case has no appeal, Rest in peace "Man of the people" you left us while "Things are still Failling Apart" in Africa! However we sons of the land still hope "No longer at Ease"!
 
Hivi bado vitabu vyake vinatumika kweli? Au ndio mitaala mipya
 
RIP CHINUA ACHEBE!miaka ya late 80s vitabu hivi tulikuwa tunavitumia secondary ktk literature!

RIP Chinua Achebe. One of the best known African writters.

Nitamkumbuka kwa vitabu vyake kama Things Fall Apart, No Longer at Ease na A man of the People.

Pamoja na kututoka bado nitamkumbuka kama “A man of the People.”
 
RIP Mzee.

Actually "Things has Fallen Apart"


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom