Prof. Benno Ndulu Unalijua hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Benno Ndulu Unalijua hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by payuka, Aug 23, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi unajua Kuna taasisi zitoazo huduma kwa umma wa Tanzania, ambazo zinatoza customers kwa USD? .
  Hii inapingana na kauli yako uliyoitoa hivi karibuni kwa kusema quotation katika USD si tatizo, kwani hata mtu akienda na Tshs Zinapokelewa kwa Kutumia Exchange ya siku hiyo. Napenda kukuhakikishia hili si kweli...... Mfano mzuri ni Hoteli Ya Doubletree...ukienda na madafu yako wanakataa na kukusisitiza nenda katafute Mi USD.
  Kuna dada mmoja nae kaniambia kuna shule moja ya international anayosoma mwanae nayo mwendo ni huohuo ......Huna USD Mkononi Rudi na Mwanao Nyumbani.
   
 2. Mwanamosi

  Mwanamosi Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii inakera kwakweli...hata madukani nako kuna kamchezo ka kuuza bidhaa kwa dola so rate ikipanda umeumia...nadhani uwepo mkazo wa kutumia TZS kwa kila bidhaa/huduma...kwanini tukubali utumwa huu au ndio mkoloni kaja kama mpangaji?antuumiza pasipo sie kujua...au ndio janja ya wafanyabiashara? nadhani Ndullu ana kazi kuhakikisha tunalipa TZS kwa kila huduma/bidhaa tufute huu ujinga wa kutumia dola (usd) kama medium of exchange...binafsi sinunui bidhaa kwa dola coz wanakuibia unajiona bora uzunguke uchoke ila upate kwa nafuu kuliko hata kile kidogo ulichonacho wakuibie..tena ukijiona. huu ni utumwa
   
Loading...