Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

Waswahili husema kuwa majina huumba. Sasa hili jina 'Zito', linabeba maana ambayo waliomwona akiwa mdogo walihisi ndivyo atakavyokuwa.
 

Jinga wewe,hujui kuwa aliyepewa kazi ya kudivice formular ya kuteuwa wabunge wa viti maalum ni Prof Kitila Mkumbo?
 
Wewe ni mzima? Unajua jinsi wabunge wa kuteuliwa kupitia CHADEMA walivyopatikana? Vigezo na maamuzi ya nani awe mbunge wa kuteuliwa viliandaliwa na Dr. Kitila, na mapendekezo yalipelekwa na Kitila Mkumbo kwa niaba ya kamati.

Huyu binadamu ni wa kuhurumiwa tu,wakati mwingine post zao zinatusaidia kujua uwezo wao wa kufikiri hivyo tunapata kibali cha kuwapuuza!
 



Ndio nini hii? Mbona kila mtu ktk hili suala la zitto anatoa Unabii wake? Why everyOne is trying to tell/show how Zitto was supposed to behave?

Let him be, him. Becouse that's how he is...
 

Kiongozi acha kumshambulia Baregu. Kwan una uhakika gani kama kayaongea yeye au maneno ya uchonganishi? Kazi ya vijana wa ufipa ya uzushi umeisahau?

Chanzo cha habari hamna. Na video kaweka ya zito kujiuzulu. Hayo maneno Baregu kayaongelea wapi?
 
who cares?
 
Ama kweli nyani haoni kundule. Wewe Baregu ndo mzigo. Professor mzima utakubalije kutumiwa vibaya na kijana mcheza disco? Siyo tu mcheza disco bali pia kijana mwenye eimu ya kidato cha sita mwenye ufaulu wa sifuri? We ndo mzigo siyo zitto

Usikimbilie kumkashifu Prof. Kwan hii habari ipo kimajungu, haina chanzo. Na mleta mada kajua kuwa wengi hapa ni mb8 hivyo hamtajiangaisha kuifungua. Kifupi kilichopo ni hotuba ya Zitto. Kifupi huyo kenge kawashika vizuri na propaganda zake.

Sasa hivi wanafanya chini juu kuhakikisha wanamfitinisha Zito kwa kila mtu japo yeye hana muda nao.

Hiyo habari haina chanzo bshaka ni majungu kama majungu mengne ya siku zote waenezayo chadema dhidi ya wapinzani wao.
 

Huyu mzee atakuwa Profesa wa mizizi na sio kufikiria, ukiwa Counselor wa mtu hutakiwi kutoa siri zake, kidogo tu kaanza kuropoka, zero kabisa naanza kumdharau. Ukiwa mleI haimaanishi kumchunguza mtu ili ukaseme magazetini. Zero kabisa na ndio maana anaongozwa na form four failure bila kujijua
 
Last edited by a moderator:
Kwani kuhama chadema ndiyo zitto amekuwa hamnazo kwa nn asiseme kuwa zitto ni mzigo pindi yupo cdm that shame
 
Wewe ni mzima? Unajua jinsi wabunge wa kuteuliwa kupitia CHADEMA walivyopatikana? Vigezo na maamuzi ya nani awe mbunge wa kuteuliwa viliandaliwa na Dr. Kitila, na mapendekezo yalipelekwa na Kitila Mkumbo kwa niaba ya kamati.

Acheni kukanusha vitu msivyovijua mbona hata kipengele cha ukomo wa uenyekiti kilitolewa kinyemela hatukumsikia huyo profesa wenu akitoa maoni?

Tafuteni waraka wa Chacha Wangwe muusome ndo mje kuutetea upuuzi wenu hapa mtapingaje ilihali Wangwe kayaandika hayo akitokea kuwa Makamu mwenyekiti wa chama.

Kwa hiyo na suala la kukiuzia chama vifaa used kwa bei ya juu nalo hamlijui na huyo mzee wenu?

Hiyo report ya CAG mbona hajasikika akitoa maoni tuone kama uprofesa wake hajauweka mfukoni kwa wenye chama?

Punguzeni unafiki mazee maana haubadili ukweli inshort Baregu aanze kwa kumkosoa Mbowe kwanza ndo tujue anachokisimamia.
 

Hii ni nyingine kabisa na inahitaji uzi wake!
 
Chadema kinazidi kujichanganya juu ya hili la Zitto, kama mwanamke umeachana naye unaacha hata kumzungumzia, unamwacha akahangaike na dunia sio kila saa ooh ana kiburi, hashauriki, ana hiki na kile.

Kama mnamaanisha Zitto si kitu, mwacheni aendelee na maisha yake.
 
Mwenye Enzi Mungu atujalie afya njema na pumzi tuweze kuishi na kushuhudia safari ya Zitto Kabwe huko ACT-Wazalendo ili hatimaye atuthibitishie alikotoka walikuwa wanamchelewesha.
Zitto yupo kambi ya Act-wavamizi,na siyo Act-wazalendo,naona unafanya makusudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…