Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya Katiba kutoka chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ametoa kauli ya kujiondoa na kujiuzulu nafasi zake ndani ya Chama hicho kupelekea maamuzi yaliyofanywa na kikao cha kamati kuu ya chama hicho yaliyotangazwa leo.
Hivi karibuni nitawaletea taarifa kamili na kama atatoa tamko la maandishi. Kaeni mkao wa kula wanajamvi.
Hivi karibuni nitawaletea taarifa kamili na kama atatoa tamko la maandishi. Kaeni mkao wa kula wanajamvi.