mambomengi
JF-Expert Member
- May 16, 2009
- 829
- 242
Wamejiuzulu au wamewajibika. Hii kuwajibika au kuwajibishwa imechelewa sana, ilitakiwa itokee November 2010!
Hiyo ni habari nzuri kwani watakuwa wamechemsha. Wajiuzulu ili tujue moja. Tunachojua ni kuwa wataondoka makapi lakini CDM itabaki na wale ambao wapo CDM kwa dhamira ya mabadiliko ya kweli siyo nusu nusu.