Prof. Baregu: CHADEMA tuko wamoja

Prof. Baregu: CHADEMA tuko wamoja

Lowassa ni mtu safi. Vinginevyo asingethubutu kuondoka CCM.

Hili nalo neno mkuu! Wengi tuliamini kabisa kwamba Lowassa kwa "ufisadi" wake salama yake iko ndani ya ccm tu! Sasa kwamba amethubutu ku "cross the boarder", naamini anajiamini kuwa hawana pa kumkamatia bila ya wao wenyewe kujitumbukiza shimoni!
 
Mi nashangaa ccm sana. Kipindi kile cha kuvuana gamba, lowassa alisimama kwenye kikao cha cc na kumwambia Mwenyekiti, nasikitishwa sana na kinachoendelea ndani ya chama, watu wanazunguka kwa hela ya chama kunichafua. Wakati mimi hakuna kitu nilichofanya Mwenyekiti haujui. Na kikwete akasitisha lile zoezi. Leo watu wanajifanya hawajui
 
Back
Top Bottom