Prof. Baregu: CHADEMA tuko wamoja

Prof. Baregu: CHADEMA tuko wamoja

masikini slaa wa watu ndo hana chake tena. da! ama kweli mbowe mubaya! tena mbele ya hela!
 
Pesa zina nguvu kuliko PHD.
Ukiona hadi Professor Baregu kabadili msimamo na kutetea mafisadi basi unajua tanzania inaanza kuwa na wasomi na maprofesa koko ambao hawana msaada wowote wa maana kwa wananchi wa kawaida.Pesa ina uwezo wa kufuta hata PHD ya mtu ikamuweka kwenye kundi la watu ambao hata shule hawakukanyaga.Shame on you proffessor Baregu.
Tuseme kama Baregu angekubaliana na wewe, au kuweka maamuzi kwenye imani yako kwamba fisadi maana yake ni Lowasa, ungemgongea 'shame' au like? Upo biased kwa sababu hujibu hoja, unamshambulia mwenye hoja'
 
MaCCM yanachukia sana kuona CHADEMA wanazidi kuwa wamoja licha ya propaganda zote wanazoeneza
 
profesa wa ukweli

Kama ni wa ukweli, pima consistency yako mwenyewe! Ndani ya uzi wako umeandika "tanzania" ukijua ni nina la nchi, je mwanafunzi wako akiandika jina la nchi kwa kuanzia na herufi ndogo ni sawa? Pia umetumia maneno "Professor Baregu, maprofesa, profesa wa ukweli". Lipi ni sahihi? Jisahihishe mwenyewe! Wanataaluma makini wanatumia weledi wao kujenga hoja bila kushambulia wenzao kwa maneno ya kuwabeza. Je umo?
 
Kama ni wa ukweli, pima consistency yako mwenyewe! Ndani ya uzi wako umeandika "tanzania" ukijua ni jina la nchi, je mwanafunzi wako akiandika jina la nchi kwa kuanzia na herufi ndogo ni sawa? Pia umetumia maneno "Professor Baregu, maprofesa, profesa wa ukweli". Lipi ni sahihi? Jisahihishe mwenyewe! Wanataaluma makini wanatumia weledi wao kujenga hoja bila kushambulia wenzao kwa maneno ya kuwabeza. Je umo?

Ndani ya uzi wako umeandika "tanzania" ukijua ni jina la nchi, je mwanafunzi wako akiandika jina la nchi kwa kuanzia na herufi ndogo ni sawa? Pia umetumia maneno "Professor Baregu, maprofesa, profesa wa ukweli". Lipi ni sahihi? Jisahihishe mwenyewe! Wanataaluma makini wanatumia weledi wao kujenga hoja bila kushambulia wenzao kwa maneno ya kuwabeza. Je umo?
 
hakuna adui wa kudumu katika siasa.
kwa hili la kuitoa sisiemu madarakani hata ingekua
 
hakuna adui wa kudumu katika siasa.
kwa hili la kuitoa sisiemu madarakani hata ingekua nani...hats wasira tungempokea tu na lukuvi wake
 
Tuseme kama Baregu angekubaliana na wewe, au kuweka maamuzi kwenye imani yako kwamba fisadi maana yake ni Lowasa, ungemgongea 'shame' au like? Upo biased kwa sababu hujibu hoja, unamshambulia mwenye hoja'

Professor alikuwa akiongelea mafisadi na ufisadi wakiwemo hao akina lowasa leo anageuka jiwe ina maana kama profesa wa miaka mingi alikuwa akikubali kuwa Lowasa FISADi bila research wala data ambazo kazi-verify independenly ikwemo hukumu ya mahakama? Si profesa koko huyo? Kusema alikuwa akishabikia kitu kwa miaka bila kujua ukweli wake kihalisia nia aibu tena ya kutisha kwa mtu wa kiwango cha profesa!!!!! Pesa mbaya!
 
Mimi swali langu lipo pale pale, angesimamia unachooamini wewe, kiwe sahihi au wrong, bado angekuwa profesa 'koko'? Ukitaka kumtendea haki, chambua hoja yake, jibu kwa hoja. Achana na 'u-koko' wake, kwa sababu kuwa biased kiasi hiki, Baregu huyuhuyu akiamia CCM leo utaanza kumwabudu, na utatimiza msemo usemao nyani haoni.......! Kama ningejua imani yako ya dini, ningekupa aya pia, ..."toa kwanza boriti jichoni mwako, ili uone vizuri na kutoa libanzi kwa mwenzako!" Pia wewe na CCM kwa ujumla acheni kujificha kwenye 'kichaka" Lowasa, kwani kwenye ESCROW, Lowasa alikua waziri mkuu? Na ile miswada ya 'fasta fasta'? Operesheni tokomeza? CCM haikuwai ‪kumwajibisha Lowasa, Chenge au yeyote aliye wahi kutuhumiwa ufisadi.
 
CCM haikuwai ‪kumwajibisha Lowasa, Chenge au yeyote aliye wahi kutuhumiwa ufisadi.

Angalia uwongo uliandika.Hao wote waliwajibishwa kwa kushinikizwa kuachia nafasi walizokuwa Lowasa akaaga kwa heri uwaziri mkuu Chenge naye akatema uwaziri akatoka mkuku sio uwajibishaji huo?

CHADEMA vinara wa kutaja watu mafisadi halafu mnawachukua mchana kweupe na kuwafanya viongozi safi ghafla si sahihi.
 
Safi, vita mbele kwa mbele tu. muda huu ni wa vitendo kumng'oa mdhalim mweusi!!!
 
Angalia uwongo uliandika.Hao wote waliwajibishwa kwa kushinikizwa kuachia nafasi walizokuwa Lowasa akaaga kwa heri uwaziri mkuu Chenge naye akatema uwaziri akatoka mkuku sio uwajibishaji huo?

CHADEMA vinara wa kutaja watu mafisadi halafu mnawachukua mchana kweupe na kuwafanya viongozi safi ghafla si sahihi.
Walimpeleka mahakamani? Na wale wa ESCROW ambao bado ni wana chama wa CCM? Kwako fisadi akiwa CDM, hafai ila mamia ya MAFISADI walio ccm ni sawa?! Unajua hata JK anahusishwa kama kinara nambari wani wa huo ufisadi wooote? Na unajua kwamba kuna tuhuma za mwana-mfalme kushikwa na madawa China, tukawalipa kwa mkataba mkubwa wa gesi?! Hizo ni tuhuma, linganisha, you are not guilty until proven by law that guilt!
 
11825921_864940273587869_584721516591045598_n.jpg
 
Back
Top Bottom