rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,026
- 25,657
Nadhani ungebadilisha heading sio Prof Baregu aivuruga CHADEMA ila ingeleta maana kama ingesomeka CHADEMA WAMVURUGA PROF BAREGU .
Huyu Mzee Prof Baregu anatumia muda wake na akili zake alizojaliwa na MUNGU kusaidia kupata Katiba mpya na sio hao CHADEMA wanaotaka Public sympathy ili waende Ikulu !
Narudia tena Mwaka 2015 CHADEMA wakiingia Ikulu mnichome moto nikiwa hai !
Rafiki,
Dr Slaa hana njaa.
Utajiri na hazina kubwa ya Elimu ni utajiri tosha anaojivunia.
kama ni pesa,Akili yake inauwezo wa kumuingizia mamilioni.
Watanzania yawapasa kufikia sehemu mruhusu ubongo ufanye kazi.watu kama wewe ni janga Taifa.
Hata alichokisema Prof. Baregu pamoja na kuwa gazeti lenu limechakachua lakini bado tu hujamuelewa kwa sababu ya utando wa akili yako unaposoma na kujadili mambo ya chama makini hapa nchini cha Chadema.
Kama Bwana wako hana njaa mbona kakupa tenda ya kuweka mfumo wa kompyuta bila kufuata taratibu? mnajipopesha mapesa ya kujengea nyumba nje ya utaratibu hii sio tu njaa bali ni ufisadi ulio kubuhu.
Iweje chama kilipe mpaka posho wa house girl wenu mkienda kutembea Arusha?
Nakubaliana na wewe akili yake ukichanganya na ya kwako mnakwapua mahela ya ruzuku kama mchwa anavyo kula gogo.
Josephine wewe ndie janga la taifa umemuacha mume wako wa ndoa kufuata fedha kwa Padri unajidhalilisha
Nadhani ungebadilisha heading sio Prof Baregu aivuruga CHADEMA ila ingeleta maana kama ingesomeka CHADEMA WAMVURUGA PROF BAREGU .
Huyu Mzee Prof Baregu anatumia muda wake na akili zake alizojaliwa na MUNGU kusaidia kupata Katiba mpya na sio hao CHADEMA wanaotaka Public sympathy ili waende Ikulu !
Narudia tena Mwaka 2015 CHADEMA wakiingia Ikulu mnichome moto nikiwa hai !
hii post ya lumumba haijadiliki, jadilini wenyewe mkachukue buku 7,
hamjiulizi je wanachodai chadema ni cha msingi??, nyinyi mawaza migogoro tu. siyo kila kunapotokea kutofautiana kimtazamo ni mgogoro,
mbona JK na LOWASA wali tofautiana wakati wa kuvua magamba, pale Lowasa alipodai JK ndo alimtuma aipe dhabuni Kampuni ya richmond,
nyie mnawaza buku 7tu, ni umaskini wa kipato na mawazo. pole ni sana
Unapomkabidhi mtu NYUNDO usitegemee ataenda kuliweka bila kulifanyia kazi au hawezi kulitumia kukupigia kichwani pale unapomkosea.
A LITTLE CHADEMA boy has turned out to be a MONSTER.
CHADEMA kwa sasa kinaweweseka na jinsi ya kumkabili asije akaivuluga nyumba yao.
IS THIS A MISSION IMPOSSIBLE?.
Yetu ni macho na masikio.
CHADEMA are not against constitutional review au katiba mpya kwa kiswahili though meanings in both languages reflect something different. What CDM are opposing is that the act that gives constitutional commitee the mandate to execute their functions is not followed to the letter. Moreover, having the act is one thing and proper implementation of the task ahead is something else as usual. Sheria haimkatazi mwananchi au mbunge ambaye atahisi fedha zinaliwa asihoji. Na hiki ndicho CDM through their legislators have tried to depict amidst booing by CCM MPs. Ambacho tunatakiwa tuonyeshe ni kuwa are those expenses incurred by tume worthy. Is Additional ya watu 4 from 30 stipulated by the act legal. Are they adding value to ensure a constitution of our dream? hawawezi kutumia kutumia kiasi kidogo withh better results?
Swala jingine ni hili la mabaraza ya katiba. If you read btn lines what Warrioba said ni kwamba mabaraza and whatever will be discussed by them will have little impact but the constitution will be subject to the wisdom ya tume. Sasa kama committe wisdom is the one that will prevail why waste resources to conduct selection of wajumbe wa mabaraza who eventually their contribtions will not have any influence to crafting the constitution? Warrioba acknowledges irregulaties in the process of getting those members of baraza but yet he convinces us to let it go. For what purpose?
Mama yetu Josephine hawa wahuni wachumia tumbo wasikusumbue.Wewe mtunze vema Rais wetu ajaye Dr Slaa.Kazi ya kuwajibu tutaifanya sisi.