Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

Baregu kanogewa na miposho
 
True colours za Baregu. Anasahau kwamba aliteuliwa kuwakilisha taasisi ya 'CDM'
 

Kweli njaa mbaya sana; wapiga kelele wote wamenyamaza baada ya kuchaguliwa kwenye tume ya katiba ambako ulaji wake sio haba. Siku hizi huwezi kuwasikia tena wale wa Mwalimu Nyerere foundation [ Butiku etc] wakiipigia kelel serikali ya baba MwanaAsha!!
 

Rafiki,
Dr Slaa hana njaa.
Utajiri na hazina kubwa ya Elimu ni utajiri tosha anaojivunia.

kama ni pesa,Akili yake inauwezo wa kumuingizia mamilioni.
Watanzania yawapasa kufikia sehemu mruhusu ubongo ufanye kazi.watu kama wewe ni janga Taifa.
 
Rafiki,
Dr Slaa hana njaa.
Utajiri na hazina kubwa ya Elimu ni utajiri tosha anaojivunia.

kama ni pesa,Akili yake inauwezo wa kumuingizia mamilioni.
Watanzania yawapasa kufikia sehemu mruhusu ubongo ufanye kazi.watu kama wewe ni janga Taifa.

Mama achana na hawa watu waliofilisika! Taifa liyumba kwa kukosa uongozi dhabiti wao wamehamishia nguvu zao zote kwa Dr Slaa!
 

KAKA UMENENA UKWELI MTUPU. HATA WAKIANDIKAJE HAWAWEZI KUTUGEUZA TKAAMINI CCM NI CHAMA CHA WATU WEMA, KWAN MDA WOTE VIONGOZ WA CCM WANAVOIPONDA CHADEMA MWADHANI ITATUTOA UKO CDM? LA HASHA, LABDA MUIBE KURA KWAN TANZANIANs LL NEVER VOTE 4U,

MBAYA ZAID FISAD LOWASA TNAMUONA PALE, JANGILI KINANA YULE PALE, ZOMBE JAMBAZ YUPO, JAIRO NDO ANALINDWA SANA NK, WAWINDAJI HARAMU WOTE MAKADA PIA WATOTO WA MIZEE YA MICCM TNAFAHAMU, NA HATA BAREGU UMAARUF KAUTOA CHADEMA NA C YEYE NDO KAIPA CDM UMAARUFU.

IVI TJIULIZE MIGIRO aka MIUGORO ANACHAKACHUA MWENENDO WA KUYAPATA MABALAZA KWA FAIDA YA WATANZANIA AU CCM?
 

Masalu 'you are very right'

By the way, jana umeanzisha 'sred' ya mkutano wa CDM nzega, kisha ukaingia mitini ......; Good practice katika uanzishaji wa 'sred' inatakiwa uwe around kujibu comments au kutoa updates
 

Nakubaliana wewe lakini pia inawezekana Tume kama tume inamsimamo wake, ningeshauri CHADEMA wamsikilze kwanza kabla ya ku-fire.
 
Inashangaza umakini wa Prof uko wapi, yeye anatuhumu kuwa wengine anasemwa tunalipwa 500,000 kwa siku wengine wanasema tunalipwa mamilioni na kuongeza laiti wangejua...kwa hiyo kashindwa kuondoa uvumi huo kwa kututajia au ni siri? katika mazingira haya ambayo hata prof hataji tarakimu mwanachi anapata pich gani? Si useme jamani mimi nalipwa sh 24,000 kwa siku acheni umbea

Umbea mwingine tunauzalisha wenyewe
 
Rafiki,
Dr Slaa hana njaa.
Utajiri na hazina kubwa ya Elimu ni utajiri tosha anaojivunia.

kama ni pesa,Akili yake inauwezo wa kumuingizia mamilioni.
Watanzania yawapasa kufikia sehemu mruhusu ubongo ufanye kazi.watu kama wewe ni janga Taifa.

Mama yetu Josephine hawa wahuni wachumia tumbo wasikusumbue.Wewe mtunze vema Rais wetu ajaye Dr Slaa.Kazi ya kuwajibu tutaifanya sisi.
 
Last edited by a moderator:
Prof. Baregu tafuta hotuba ya Mh. G Lema aliyosema namnukuu 'ukiona CCM wameanza kukusifu inabidi ushtuke huenda kuna mahala umekuwa Boya' So mzee Baregu nakuamini sana naomba uendelee kutunza imani yangu kwako

Hahahaa! Yaani Profesa Baregu atumie Reference ya Godbless Lema! Tembea kwingi kuona kwingi!
 

uhakika kuwa 2015 utakuwa hupo duniani ni mkubwa kwani akili yako inaonesha imesimama kufanyakazi.
 
Kumbe gazeti lenyewe ni MTANZANIA!!! Si mwenye nalo si yule wa RICHMONDULI, eti?
 
Mama yetu Josephine hawa wahuni wachumia tumbo wasikusumbue.Wewe mtunze vema Rais wetu ajaye Dr Slaa.Kazi ya kuwajibu tutaifanya sisi.

Well said Kamanda.

Tunahitaji awajibike kumtunza na kumpa mawazo mapya Rais mtarajiwa.
 
Hii nchi bana, tuseme Prof. akikubari kujitoa and katiba ikagomewa hela yetu sisi walalahoi iliyokwishatumia ndo imekula kwetu hivi hivi tu? hivi hao jamaa zetu wanaojinadi kwenye majukwaa siku zote kuwa wanauchungu na nchi hii, wanatumbia ukweli au ndio ule mwendelezo wa danganya toto? kwanini hii hela isitumike kukarabati Reli au Tanesco ambako wengi tutafaidika nako kuliko kuwafanyia biashara wanasiasa na katiba yao?...kwanza viongozi wangapi wanaifuata hiyo katiba yenyewe achilia mbali na ubovu wake? Chadema wanataka katiba ya kuwatengezea njia ya kwenda Ikulu na CCM wanapigania kubaki na ulaji......isee nyie wafuasi wa vyama na wanasiasa mnachangia kwa kiasi kikubwa kuharibu inji hiii...............hivi hatuwezi ishi bila vyama vya siasa?
 
Sasa profesa anamwakilisha nani.?
Au atakua mjumbe wa mahakama.

Inashangaza sana maana inaonekana amesahahu alifikaje hapo,
Anajifanya amekuwa mwakilishi wa Taifa.
Mara ohh mwakilishi wa Wansayansi ya Siasam
Anasahahu kuwa alikuwa nawakilisha CHADEMA na kwa vyovyote asipo fanya Hivyo basi ni Muhasi.
Kwavyovyote Mzee atakuwa amenyea Kambi, Sasa Atalala wapi? Kwenye Kinyesi au ndio tayari anajiandaa kuamia Kwa MACCM, Maana naamini kwa sasa ukimuambia mabaya ya MACCM hawezi kukuelewa wala kukuamini kutokana na Shavu analopata.
 

Mkuu, ombi lako la kuchomwa moto ni gumu sana kutekelezeka kwa sababu za kibin-adamu.
Kwa nini usingesema utajichoma moto mwenyewe kwa dhamira yako?
 
Prof komaa nao tu wasikuzingue hao, mbona Mbowe alitangaza kurudisha shangingi la serikali ya kiongozi wa upinzani kalichukua tena kinyemela bila maelekezo ya chama?

Lengo la baya hao Prof wanataka kukuua na njaa komaa hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…