Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

Hakuna mfumo rahisi kuiba kama digital. Marekani na technologia yote Lakini bado kuna malalamiko russia walichangia kumweka Donald Trump. Digital watu wachache wa IT wanaweza kumweka mtu wanayemtaka.
Tangu kifo cha Magufuli kumekuwa na matamko mengi ya kifisadi.
Mara umeme wa gesi ndio cheap! Mwingine turudi bandari ya Bagamoyo lakini mkataba hawataki kuweka wazi!
Isishangae siku za karibuni kukawa na mchakato wa mabilioni ya dola ya kampuni ya kuzambaza vifaa na mfumo wa digital wa uchaguzi!!
 
Uchaguzi wa digitali ndio huru na haki? Eti huyu naye ni Prof
Hii inashangaza kutoka kwa mtu kama Assad. Huu uchaguzi watu wanashinda vituoni kulinda kura na bado wanalalamika wizi ndio. Digital ndio kutakuwa na malalamiko mengi tena .
Ni rahisi mtu kusema kompyuta imebadilisha matokeo na watu wakamwamini kirahisi kuliko kusema mawakala wote wamepewa pesa kubadilisha matokeo!
 
Yuko sawa! Kwa mambo kama haya wajinga wataachaje kukubali kuitwa wanyonge?
images (6).jpeg
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Huyu mzee namuonaga km mwanaharakati fulani.
 
Mjinga hana lolote huyo. Udini umemkaa. Nimemsikia akizungumzia mtu anaitwa Salehe. Ukimuangalia anamtetea Salehe kwa sababu ya dini yake na si lolote.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Marekani hawajawahi kuchezea kura we mataga
Hujui siasa za kimataifa
Kwa nini malalamiko ya wizi wa kura yapo sana kwenye machine na kwa wanao hisabu kwa mkono hayana nguvu.
Angalia malalamiko ya kampuni ya Dominion na pia Russian!
 
Kumbuka Marekani walitumia huo mfumo lakini bado Trump alilamika kuwa aliibiwa kura sasa sijui kama hiyo ni hoja au vp prof yeye apumzike tu aache wananchi wakachague viongozi wao
Trump alilalamikia kura za manual (za posta), za digital hakua na malalamiko nazo
 
Mjinga hana lolote huyo. Udini umemkaa. Nimemsikia akizungumzia mtu anaitwa Salehe. Ukimuangalia anamtetea Salehe kwa sababu ya dini yake na si lolote.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Yani Prof unamuita mjinga?
Ujinga wake ni nini?

Kwa hiyo wewe ndiye mwerevu kuliko yeye?

Hilo la udini siwezi lisemea maana sijui lakini kumuita mjinga hapana nakataaa!

Na kama hizo tuhuma za udini zitathibitika kuwa kweli basi ajue atakuwa anakosea sana !

Hebu tuweni fair mtu anaposema ukweli wa mambo tusimtie ila na nongwa asokuwa nazo siyo vizuri.
 
Source ya habari? Na alizungumza akiwa wap?!! Maana sidhan Kama yupo nchini huyu Mwamba
Nenda youtube global Tv muandike tu Prof Assad live watakuletea video ya presentation yake leo kuhusu rushwa nchini iliyofanyika New Africa Hotel leo hii
 
Nasikitika sana kupoteza furaha na Imani kubwa niliyokuwa nayo kwa nchi yangu Tanzania nikiangalia maisha yalivyo magumu na sio kwamba MTU hujasoma. MTU umesoma na umefauli vizuri lkn huna kazi alafu watu Fulani wanajiona ndio wenye Tanzania yao na kupiga ma billions of money alafu watu hao hao wanakuambia serikali haina fungu la kuajiri wakati ukiangali mambo mengi yanasababishwa na usimamizi mbovu ambao chanzo chake ni kama kutokuwa na watu wenye ueledi wa kutosha kwenye maswala husika na watu tupo tuu mtaani kwakweli inahuzunisha.
 
Hii inashangaza kutoka kwa mtu kama Assad. Huu uchaguzi watu wanashinda vituoni kulinda kura na bado wanalalamika wizi ndio. Digital ndio kutakuwa na malalamiko mengi tena .
Ni rahisi mtu kusema kompyuta imebadilisha matokeo na watu wakamwamini kirahisi kuliko kusema mawakala wote wamepewa pesa kubadilisha matokeo!

Mawakala uchaguzi ujao lazima watakuwa upande wa ummati wa Watanzania kurudisha heshima/ credibility yao.
 
'…hata mkiwapigia kura wale…sie ndio tutaunda Serikali…'-Mgombea Mwenza qa Ccm 2020 Samia Suluhu
 
Certified idiot

Hv unazijua siasa za apa bongo land kwa kukuokeza tu hairuhusiw kuyangaza matokeo tofauti na ya NEC na pia hauruhusiw kuhesabu

Ukipost tu kesho unaitwa central mawakala wa upinzan hawaruhusiw kuingia vituoni wanabak CCM tu wanahesabu afu bado unaleta fyoko KMMK siend kupiga kura ng'o
Mkuu mm Sexless umenionea, kuniniungajisha kwenye komenti yako, maana nimeunga mkono kama wewe alichokisema Prof Assad.
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Huyo BBC asitusumbue kwani dijitali haiwezi kuwa fraudulent? Mambo ya IT atuaachie sisi wabobezi yeye ahangaike na CR na DR tu!
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Kuna jamaa yangu 1 yeye jina lake lilienguliwa mara ya kwanza ikabidi akahonge hela zaid ya milioni 20 jina lake lirudi, well jina likarudi lakini kilichokujakutokea analia mpaka sasa., pigwa chini kule
 
Back
Top Bottom