Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 9,068
- 12,652
Mm mwenyewe nimeshangaa, kama mtu hata kuandika hawez ataweza vipi kun'gamua alichongumza prof.Kuandika kwa mpangilio kwenyewe haujui
Ni kama mhanga hivi wa report
Maana sio kwa complaining hiyo.
Anyway acha dawa ifike mahali pake.
We nae ni pumba tu..umemskiliza huyo professor wa itikad kali alivyoongea au unapuyanga tuu..huyo prof ni sifuri na hana chochote kwenye hilo bichwa lake.Kwa maandishi ya namna hii, then unamtukana prof Assa, hii nchi nyepesi sana kuongoza! Hata kama yote hayo yamefanyika lakini wizi wa kutisha pia unaibuliwa, kama vile ambavyo kikwete pia alifanya mengi na wizi pia ulikuwepo! Ngoja ukaguzi wa miradi mingine ukamilike kwanza, lakin huna huelewa hata asilimia moja wa kumzid prof na kumtukana!
Sio nimemsikiliza tu, namjua pia! Kamuulize spika wako anamjua pia anaongea anachoamini! Huo ni utafiti and can only be refuted na findings za utafiti mwingne! La msingi fanya utafiti wako na wew juu ya mambo ya rushwa ili matokeo yako yaje yapingane na ya Prof Assad sio porojo.We nae ni pumba tu..umemskiliza huyo professor wa itikad kali alivyoongea au unapuyanga tuu..huyo prof ni sifuri na hana chochote kwenye hilo bichwa lake.
😂😂😂😂. Watu wamevurugwaYaani nyie kila aliye kinyume na upuuzi wenu basi anatumika, makalio yenu nyie
Atafute nini? Kabla ya uteuzi wa VP alijileta humu ndani kujipigia chapuo, akakosa hiyo nafasi na sasa amekuja na huu upuuzi!Eti opportunist, unaelewa kwamba mtu akishakua CAG hawezi tena kupewa nafasi yeyote ya utumishi wa umma? Unaelewa kama Assad ni vice chancellor wa chuo, sasa atafute nin!
Huyo unaemsapoti pia ndio wizi wake unaibuliwa, tulia dawa iingie!Opportunistic prof!
Ktk nchi ya watu zaidi ya 60m ni mengi mabaya pia hayawezi epukika ww popoma! Nimeandika kwa hasira mpaka natetemeka kwa upuuzi uliokuwa ukiropokwa na mtu ambaye eti ni 'profesa&! Mtu kama huyu kwa ufinyu wa akili huo ndo angepewa nchi hii mbona tungeuzwa sisi na watukuu wetu watakaozazaliwa! Unakuta na mapopoma wote wenye chuki binafsi na Magu wanamsapoti Assad kwa upuuzi wake kama mazezeta mfyuuuuu!
Sio nimemsikiliza tu, namjua pia! Kamuulize spika wako anamjua pia anaongea anachoamini! Huo ni utafiti and can only be refuted na findings za utafiti mwingne! La msingi fanya utafiti wako na wew juu ya mambo ya rushwa ili matokeo yako yaje yapingane na ya Prof Assad sio porojo.
Utakua na shida kichwani, sasa utake uteuzi wa VP ndio uje humu...kwani humu ndio wanachagua VP? Tambua hizo nafas kubwa za kiserikali hachagui mtu mmoja amejifungia, hiyo ni nchi kama ulikua huelewi,ndio maana kuna watu walikua na nguvu sana lakin akateuliwa Majaliwa from nowhere, na pia hakuna mtu alitegemea Mpango kuwa VP! Ndio ujue hizo nafasi huzipati kwa kujipigia debe, na Assad hawezi kuja humu, itakua wewe labda umetumia jina lake! Huna unalolijua, acha prof aongee alichofanyia tafiti..ikiiuma na wewe fanya tafiti, andika paper uje kuwasilisha opposite to what prof has presented yesterday na sio kupiga mayoe.Atafute nini? Kabla ya uteuzi wa VP alijileta humu ndani kujipigia chapuo, akakosa hiyo nafasi na sasa amekuja na huu upuuzi!
Anatamaa sana huyu mzee na anatumika vibaya! Hiyo nafasi tu aliyonayo sasa hivi hata haimudu, anapataje ujasiri wa kubwabwaja kuhusu maono makubwa ya rais JPM!?
Sikia ww, wizi lazima uibuliwe ndio maana kuna ofisi y CAG! Ingawa utendsji wake pia unawalakini hasa ukisikia huku kwenye halmashauri! Zipo halmashauri ziko choka mbaya kiutendaji lakini CAg amewapa hati safi!Huyo unaemsapoti pia ndio wizi wake unaibuliwa, tulia dawa iingie!
Ww ndio jitafakari! Mh. Rais kwa siku za mwanzo amekuwa akifuatilia sana mijadara ya social media, na hata kufikia kuona yale yalijadiriwa humu tumeshuhudia yakitokea! Kwa kujua hivyo na huyu nae asiyejitambua akaja kupiga chapuo😜;Utakua na shida kichwani, sasa utake uteuzi wa VP ndio uje humu...kwani humu ndio wanachagua VP? Tambua hizo nafas kubwa za kiserikali hachagui mtu mmoja amejifungia, hiyo ni nchi kama ulikua huelewi,ndio maana kuna watu walikua na nguvu sana lakin akateuliwa Majaliwa from nowhere, na pia hakuna mtu alitegemea Mpango kuwa VP! Ndio ujue hizo nafasi huzipati kwa kujipigia debe, na Assad hawezi kuja humu, itakua wewe labda umetumia jina lake! Huna unalolijua, acha prof aongee alichofanyia tafiti..ikiiuma na wewe fanya tafiti, andika paper uje kuwasilisha opposite to what prof has presented yesterday na sio kupiga mayoe.
Yani Mataga ni Kama kasuku,wanaimba walichokaririshwa hawana hints ndogo ndogo juu ya Katiba wala sheriaEti opportunist, unaelewa kwamba mtu akishakua CAG hawezi tena kupewa nafasi yeyote ya utumishi wa umma? Unaelewa kama Assad ni vice chancellor wa chuo Kikuu cha Wasilamu cha Morogoro, sasa atafute nin!
Hana analojua, hata kuandika tu vizuri hawezi anataka kumkosoa eti prof! Stupid kabisaPumba tupu, kajifunze kuandika halafu uje kuandika tena labda tutaelewa.
Mataga hamna mnachoelewa zaidi ya ushabiki tu, wafuata mkumboNdio walewale msiojitambua! Wanaojitambua wameshaelewa! Na ndio lengo la huu uzi!