Eti opportunist, unaelewa kwamba mtu akishakua CAG hawezi tena kupewa nafasi yeyote ya utumishi wa umma? Unaelewa kama Assad ni vice chancellor wa chuo Kikuu cha Wasilamu cha Morogoro, sasa atafute nin!Opportunistic prof!
Ktk nchi ya watu zaidi ya 60m ni mengi mabaya pia hayawezi epukika ww popoma! Nimeandika kwa hasira mpaka natetemeka kwa upuuzi uliokuwa ukiropokwa na mtu ambaye eti ni 'profesa&! Mtu kama huyu kwa ufinyu wa akili huo ndo angepewa nchi hii mbona tungeuzwa sisi na watukuu wetu watakaozazaliwa😡! Unakuta na mapopoma wote wenye chuki binafsi na Magu wanamsapoti Assad kwa upuuzi wake kama mazezeta mfyuuuuu!Kwa maandishi ya namna hii, then unamtukana prof Assa, hii nchi nyepesi sana kuongoza! Hata kama yote hayo yamefanyika lakini wizi wa kutisha pia unaibuliwa, kama vile ambavyo kikwete pia alifanya mengi na wizi pia ulikuwepo! Ngoja ukaguzi wa miradi mingine ukamilike kwanza, lakin huna huelewa hata asilimia moja wa kumzid prof na kumtukana!
Mtu mwenyewe umebaki kuji quote mwenyewe !!Opportunistic prof!
OPPORTUNISTIC [emoji16][emoji16] daah Tanzania.Opportunistic prof!