Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

Kumbe mambo yalianza zamani haya, sasa najua kwa nini jamaa yetu yupo angry.

Na Mh Kipaza amepewa assingment, ndio maana Mzee wa Watu anapambana masikini wa Mungu.
 
Huyu bwana hajamaliza hata mwezi kazini tayari anashambulia wanasiasa.

Prof.Assad amehojiwa na idhaa ya Kiswahili ya UN, na kutoa madai kwamba Tanzania kuna tatizo la "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP."

Anadai watu wanaendekeza faida binafsi ktk maamuzi yao wakiwa madarakani.

Amekwenda mbali na kusema ule mradi wa MAGUFULI wa kuuza NYUMBA ZA SERIKALI ni mfano wa "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP."

Kwa kweli Professor atakaporudi nyumbani anapaswa at least aseme kuwa alinukuliwa vibaya, hata kama kuna ushahidi wa sauti yake.

Mahojiano yake yapo hapa chini, lakini specifically unaweza kuanzia dakika ya 6.

Audio:
https://news.un.org/sw/sites/news.un.org.sw/files/audio/2014/12/02mahojianoassadbodi.mp3

Kwa kirefu: Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad | Idhaa ya Redio ya UM

cc Ritz, Pasco, Sangarara, Tetty, VUTA-NKUVUTE, Nguruvi3, NasDaz, Mdondoaji

HII NDIO INAMTESA ASSAD
 
Kumbe shida ilianzia hapa? Ok huu ndio utamu wa JF.
 
Kwani ni nani asiyejua kuwa kati ya maamuzi ya kipuuzi yale ni namba moja?

Ni ujinga, mikoani nyumba za serikali walizokuwa wanatumia majaji zimeuzwa. Leo hii serikali inalipia majaji hotelini bei ghali ajabu
Kwahiyo ni sawa na kusema waliofanya maamuzi yale ni wapuuzi na aliyesimamia utekelezaji wa maamuzi yale ni mpuuzi pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni nani asiyejua kuwa kati ya maamuzi ya kipuuzi yale ni namba moja?

Ni ujinga, mikoani nyumba za serikali walizokuwa wanatumia majaji zimeuzwa. Leo hii serikali inalipia majaji hotelini bei ghali ajabu
Siyo zimeuzwa, bali wameuziana, fuatilia mkuu! Nafahamu nyumba zilizokuwa za serikali ambazo wameuziwa viongozi ikiwemo wakuu wastaafu wa polisi na wao wamepangishia watu tena wanapokea USD! CCM Hapana kwakweli!
 
Mimi nina hofu kama kweli hajengi mazingira ya kuaminiwa ili siku akirudi na kusafisha escrow aonekane ni mtenda haki.

Naona ameingia bara bara kuu kwa kasi, sijui kama itaendelea hivyo au ndio anaandaa sanduku la mazingaombwe
Je maoni yako kwa sasa yakoje mkuu?
 
Ritz,

..naona umekuwa mgumu tu kuelewa.

..hili suala aliyelisimamia mwanzo mwisho ni Magufuli akiwa waziri mwenye dhamana.

..Raisi hawezi kufanya jambo lolote lile bila ushirikiano na waziri husika.

..ungeweza kumlaumu Mkapa moja kwa moja na peke yake, kama wizara ya ujenzi ingekuwa sehemu ya ofisi ya Raisi, na Magufuli angekuwa ni waziri wa nchi ofisi ya Raisi Ujenzi.

NB:

..hata Kinana ktk ziara zake za kuimarisha chama na kukagua miradi ya maendeleo, amewahi kukemea zoezi la uuzaji nyumba za serikali.

cc Pasco, Nguruvi3
Pascal Mayalla ama pasco wa JF alisemaje?
 
Back
Top Bottom