Prof. Anna Tibaijuka anafaa kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.

mwagavumbi 11

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,254
44
Habari zenu wanajamvi,
Habari za saum kwa mliofunga,

Kiufupi nimefatilia kwa ukaribu sn jinsi Prof. Tibaijuka anavyofanya kazi ngumu katika wizara mama tena km figo katika wizara zote, nimejiridhisha kuwa Prof. Tibaijuka ni mchapa kazi, mkweli, anependa watu, asiye na hiyana na mtu na mpenda maendeleo kwa nchi yetu Tanzania.

Jamani tumuombeeni mwenyezimungu amuinue zaidi na ikiwezekana kuiongoza nchi hii iliyojaa mafisadi, wenye uchu wa madaraka na wasema mazuri mbele ya macho ya watu ila mioyo yao imejaa ubinafsi, rushwa na fitina na kuigeuza TZ km shamba la bibi.

Nawasilisha


 
Kabila lake silipendi. Wanajivuna sana Ishomile. Pia wana ukabila kweli. Akiwa Rais atajaza wahaya tupu IKULU. Pia kunaweza kuwa na ugomvi wa kikabila na Wachagga hasa ikiwa ataifumua TRA
 
Tangu ameshika wizara migogoro ya ardhi ndiyo imeshika kasi zaidi.Ukuritimba rushwa wizara yake imekithiri.Satellite city hata moja haijaanza kujengwa.Huyu mama hata uDC haumfai
 
Anna Tibaijuka,
Awe rais tena?
Mbona hata huo uwaziri wake ni sawa na alipewa zawadi tu.

Hapana mimi nasema kuwa hafai kabisa;
Na kama mnataka watu turudi tulikotoka
wekeni mwanamke YEYOTE yule agombee urais.
 
Last edited by a moderator:
she is short tempered, alishindwa kujibu hoja alipowekwa kwenye kona na Halima Mdee. Mpango wake wa kuvunja maghorofa ya ufukweni umeishia wapi kama sio uwoga.
Kiongoz wangu, ufukweni hakushindwa ila wale jamaa walikimbilia mahakamani kuweka pingamizi na km unavoelewa mambo yakishakua court you are not suppose to speak anythng. Atayabomoa tu namwaminia.
Kuusu temper co mwanangu alshangaa sn kwa mtu kmk mh.mdee km angesema uongo mkubwa km ule bungeni na ndomana hakukubali akamburuza kwenye sheria zaid
 

Duuu kumbe hata mimi naweza kuwa rais ee kweli watanzania wengi bado vilaza
 
Tanzania bado sana mwanamke kuwa rais huo ndiyo ukweli, mfumo dume bado una nafasi kubwa.

Ina maana TISS wamepotea kwa Asha Rose Migiro?naona nyota ya Shein ipo wazi kwa ccm ili kuua makundi
 
Anna Tibaijuka,
Awe rais tena?
Mbona hata huo uwaziri wake ni sawa na alipewa zawadi tu.

Hapana mimi nasema kuwa hafai kabisa;
Na kama mnataka watu turudi tulikotoka
wekeni mwanamke YEYOTE yule agombee urais.
Aaa jamani wanawake mnaweza pia. Kumbuka uyu ni Prof. na UN wanamlilia hadi kesho
 
she is short tempered, alishindwa kujibu hoja alipowekwa kwenye kona na Halima Mdee. Mpango wake wa kuvunja maghorofa ya ufukweni umeishia wapi kama sio uwoga.

Wewe magorofa ya ufukweni mbali hivyo lile gorofa pacha lililoporomoka kipo wapii ccm kwa ujumla wake ni ukoo wa panya baba, mama bibi, babu, mpaka vitukuuu ni wezi tu wanangata na kupuliza
 
Anna Tibaijuka,
Awe rais tena?
Mbona hata huo uwaziri wake ni sawa na alipewa zawadi tu.

Hapana mimi nasema kuwa hafai kabisa;
Na kama mnataka watu turudi tulikotoka
wekeni mwanamke YEYOTE yule agombee urais.

Hata hao wanaume yupo wapi mlio nae mwenye ahueni ya masoko?
 
Last edited by a moderator:
Mwambie aje humu JF. Kuna kipindi alikuwa anafanya hivyo. Sasa sijui kwa nini kakimbia maswali ya wana JF

Majukumu kiongozi, sasaiv anachapa kazi za serekali usiku na mchana na anataka utakatifu uliotukuka katika kazi zake ndomana yupo bize mbaya. Anachapa kazi km komputer
 
Huna hoja, kumpa huyu mama nchi ni kuitumbukiza kwenye majanga. Kwa upuuzi huu uliyouleta hapa jamvini sidhani kama utapata supporters.
 
Jipime kwanza uone km unaweza kuwa rais. Huyu ni Prof. tena kafanya kazi UN miaka 18 na wanamlilia adi kesho .uwezo wake na uchapakazi wake ni km computer
Duuu kumbe hata mimi naweza kuwa rais ee kweli watanzania wengi bado vilaza
 
Majukumu kiongozi, sasaiv anachapa kazi za serekali usiku na mchana na anataka utakatifu uliotukuka katika kazi zake ndomana yupo bize mbaya. Anachapa kazi km komputer

Hana lolote ni fisadi tu, kama mafisadi wengine.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…