===
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Faustine Mkenda amezikaribisha Kampuni, Watu binafsi au Mashirika ya kiria kuchangamkia fursa za kujenga na kuendesha Nyumba kwaajili ya mabweni | Hosteli maeneo jirani na vilipo vyuo ambavyo vinaupungufu wa Hosteli kwaaji ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini.
Pia soma CBE: PPP kujenga mabweni yatakayochukua wanafunzi Elfu 12
Itakumbukwa kuwa tayari chuo cha Elimu ya Biashara nchini CBE tayari wameshampata mkandarasi atakayejenga mabweni yenye kubeba wanafunzi elfu 12 kwa mara moja kazi iliyoratibiwa na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC ambacho kipo chini ya Mkurugenzi wake Mtendaji Bwana David Kafulila ambae ndio kama mwanzilishi wa kituo hicho.
www.thecitizen.co.tz

Government urges private sector to invest in university hostels
Students demand still far outweighs the available spaces.