OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,516
- 13,696
Hivi huyu aliyekuwa katibu mkuu wa maliasili na utalii yupo wapi??
Mnalikumbuka bifu lake na Mh kingwangala?
Je chanzo chao cha ugomvi ndio hiki cha kuchota pesa za umma na kuzitumbua?