kidochi og
Member
- May 27, 2020
- 45
- 74
DuhProducer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio..
Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai wanawake waliokuwepo humo studio wamedharirishwA , wamefanyiwa unyama wa kutisha sana
Huyu si chawa wa DomoProducer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio..
Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai wanawake waliokuwepo humo studio wamedharirishwA , wamefanyiwa unyama wa kutisha sana
kumi na mbili jioni angalia wasafi TV utaona kila kitunimezoom sana video mbalimbali kutafuta mixer zilovunjwa computer nk sijaona zaidi nimeona MIC CONDENSER ipo juu ya kochi sasa sijaelewa ni vyombo vipi vyote vilivoovovunjwa nimefata hii ashtag #chersecurity lk hola account yake ninaona giza tupu sasa akili yangu inawaza pengne ni amshaamsha mana nilitegemea zingetapakaa picha na video vyombo vya studio vikiwa vimevunjwavunjwa na hao walinzi shirikishi walovamia studion kwake na kufanya uharibifu na udharirishaji wa wanawake
mkuu ukipata Picha zaidi au Video tupia tuone namna uharibifu wa mari ulivyofanyika ili tuweze tafsri ni tukio la namna gani
Tupo njia moja ameshindwa vp kuonyesha hivyo vifaa vilivyoharibiwa otherwise sijasikia taarifa yoyote tamko la polisinimezoom sana video mbalimbali kutafuta mixer zilovunjwa computer nk sijaona zaidi nimeona MIC CONDENSER ipo juu ya kochi sasa sijaelewa ni vyombo vipi vyote vilivoovovunjwa nimefata hii ashtag #chersecurity lk hola account yake ninaona giza tupu sasa akili yangu inawaza pengne ni amshaamsha mana nilitegemea zingetapakaa picha na video vyombo vya studio vikiwa vimevunjwavunjwa na hao walinzi shirikishi walovamia studion kwake na kufanya uharibifu na udharirishaji wa wanawake
mkuu ukipata Picha zaidi au Video tupia tuone namna uharibifu wa mari ulivyofanyika ili tuweze tafsri ni tukio la namna gani
Sas polepole anagiza polic yeye kama nani ..!! Hii nchi hiiNimemsikia Polepole akiagiza polisiccm walishughulikie haraka sana hili suala-nafikiri ameamua kuwatwiasha wapinzani mzigo huu.
Nchi hii ccm wanafanya watakavyo.
Mkuu huo uandishi hakika unachefua, cha kushangaza utakuta ni li-graduate tena janaume!Jifunze kuandika kwanza
Pengine ikawa ni hivyo maana kumeibuka wimbi kubwa sana la watu wanaowachukia wasanii walioamua kutafuta ugali kupitia hizi kampeni,na hasa ikizingatiwa kwamba yeye pia ni miongoni mwa watayarishaji wa miziki hiyo.Nimemsikia Polepole akiagiza polisiccm walishughulikie haraka sana hili suala-nafikiri ameamua kuwatwiasha wapinzani mzigo huu.
Nchi hii ccm wanafanya watakavyo.
Mambo ya correct type babu sio Mimi🤣Mkuu huo uandishi hakika unachefua, cha kushangaza utakuta ni li-graduate tena janaume!