Aende tu huyu bonga maslahi hata kina nahreal wanazinguliwa sembuse huyo kima mmoja..
Kwanza huyu ndo kamtengenezea harmo hayo ma "hainstui " kushoto kulia sijui aah mara hii anatka maslahi makubwa namna hiyo? Kina s2kizzy wasemeje sasa?
Nimemuona kaitisha press conference .
Siku hizi bongo mtu akijisikia kuitisha press conference !!!!
Bonga ni nani aende zake huko
Anasema anaanza kuimba rasmi.
Watu na waandishi wa habari wamsapoti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.