Poxino JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 727 Reaction score 53 Jan 25, 2013 #1 Habari zenu wadau ivi ukiwa mfanyakazi waserikali unalipwa mshahara laki 3 unaweza pata mkopo bei gani
Habari zenu wadau ivi ukiwa mfanyakazi waserikali unalipwa mshahara laki 3 unaweza pata mkopo bei gani
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Jan 25, 2013 #2 50% ya take home yako tu ndio utaruhusiwa kukatwa kwenye malipo ya huo mkopo, so piga hesabu mwenyewe,
50% ya take home yako tu ndio utaruhusiwa kukatwa kwenye malipo ya huo mkopo, so piga hesabu mwenyewe,