Acha matusi mkuu, 5.5m!! Hauko serious.
Kama utapata ambaye ameitumia sana labda kwa 8-9m, ila 5 utakua umenunua guta, kwenye mpando unasukuma huku umekanyaga accelerator
Kuna mtu anayo anataka 9m.Rejea kichwa cha habari hapo juu Kama kuna mwenye gari station wagon, kwajina Probox Anaeuza naomba ani pm tufanye biashara bei Ml. 5.5