Problem with PES 2012!!!HELP!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Problem with PES 2012!!!HELP!!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by richy17, Jun 8, 2012.

 1. richy17

  richy17 Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  PES 2012 Hususani wanayoitumia kwenye computers huwa inafreeze ikifika ila sehemu ya avatar editing...mwenye solution ya hili tatizo naomba msaada plzzz!!!
   
 2. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  OK fuata hizi steps kwa kina sana..
  Kwanza download hii stored settings folder tayari... extract alafu kaireplace na file la KONAMI kwny my documents.. hakikisha una extract mpaka ibaki KONAMI na subfolder isiwe KONAMI tena..:

  Konami.rar

  Oh baadae uchange settings hapo iko ni Top player.. no pass assisting na cursor settings hamna assistance usije ukaona ngumu balaa hehe...

  OK sasa hii ni muhimu pia usipo fanya hivi.. itakuwa inaganda ghalfa like ukicheza English League, au ukicheza cup league katika kick off button itastuck utaweza cheza Champions League tu( yah that sucks).. so download hii kitu pia:

  kitserver-12.2.2.rar

  Extract folder ya Kit server kwny folder la pes 2012 lile ambalo lina settings.. Kumbuka extract FOLDER la kitserver.. usi extract mafile ya kitserver pale nje...

  Ok open the kitserver folder.. tafuta config rite click it na chagua run as administrator..

  katika na Set Picture Quality to high pia unaweza edit settings zingine pia like unaweza weka manual resolution kama unaijua the exact resolution ya diplay yako.. increase game speed( this other ni optional) ok sasa click save n ok


  Apo apo kwny iyo folder la kit server scroll down mpaka Manager.. rite click it na run as administrator pia.. ikifunguka apo katika seletion lazima iwe pes2012.exe sasa click ATTACh subiri mpaka ikuambie kuwa kit server has attached this file click ok..

  NOW ur done kabisa all games will play.. haitastuck but only one small problem haya yote yametokea coz your video memory ni ndogo so hii inaforce iplay so katika replays na mwisho wa game utaweza ona kama iko slow flani lakini kwny kucheza iko poa kabisa + kama uli update the datapack iyo kit server itakufanyisha uwe unatumia the latest Sports gear so full raha.....
   
 3. richy17

  richy17 Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  asante bro....ngoja nijaribu
   
 4. richy17

  richy17 Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  PES2012.exe mbona haiji mkuu hapo kwenye ku-attach??
   
 5. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Itakuwa hauja weka kwny folder la kulaunch game iyo kitserver folder... i browse na ukiona iselect
   
 6. richy17

  richy17 Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mkuu game limekubali bila hata ku-attach....naona halina shida yoyote sasa....ila siku-attach hiyo pes2012.exe
   
 7. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ok bt ikija kuleta hzo symptoms nlzo taja hapo juu itabdi hui attach na kitserver.
   
 8. richy17

  richy17 Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  poa mkuu
   
Loading...