Habari
Natumia nokia x2 imekuwa installed opera min version 4.2.12 kiukweli siipendi sio nzuri kama version 6.1 ila nashidwa jinsi ya kuibadili je kuna njia yeyote ya kuweza kuibadili?
apollo huo ni mtazamo wako opera 4 haiwezi kukopy text but opera 5 au 6 inaweza. Mi naona bora uwe nazo zote visit hapa kwa version za opera na ucweb zote ambazo hazihitaji certificate just download hapa XtGem.com
hapana mkuu. Pia inatepemea na memory browser pia. 4.3 ina memory kubwa sana. Jaribu kuwauliza watu wanaotumia 6.1 na 4.3 (mf mimi) ndio utaambiwa. Sema tu 4.3 haina copy and paste. But ipo faster na simply kuliko 6
mimi simu yangu ina memory kubwa, pia natumia airtel. Tatizo la 4.3 haikopi na kupaste. But kiukweli ina nguvu mno katika kufungua page kubwa.mfano page ya matokeo ya bodi ya mikopo niliifungua kwa 4.3 ila kwa 6.1 ilizingua. Bora Uc Browser 7.9 mpya kuliko 6.1. Uc Browser 7.9 inasave memory and good in traffic charges.
apollo huo ni mtazamo wako opera 4 haiwezi kukopy text but opera 5 au 6 inaweza. Mi naona bora uwe nazo zote visit hapa kwa version za opera na ucweb zote ambazo hazihitaji certificate just download hapa XtGem.com
kweli, tatizo la opera 4.3 haikopi na kupaste, ila ina nguvu kubwa. Mimi nina kila browser katika simu yangu...hakuna new browser inayotoka ikanipita mimi. Mi ni miongoni mwa watu wanaopata news za browser updates mapema.
waambie kaka, mimi nizo opera zote, ila 4.3 haijawahi kukataa kufungua pages kubwa. Ila 6 imekaa kimayai mayai. Ila 6 naipendea kwenye copy and paste na pia uki-search kwa google bila hata kuselect search inakuletea top search words kwa neno hilo.