kifupi memory card ya kichina.tupa kanunue nyingine original kisha nayo ikikuzingua uje na swali.Naombeni ushauri au kama kuna msaada maana kuna simu yangu ninayo ila inanizingua kidogo...Nimenunua Memory card aina ya MICRO SDHC lakini tatizo linanijia inakubali kusoma data kwenye simu na nikiweka nikienda sehemu ya memory card inaonyesha CAPACITY NI 3774MB and USED 82MB and FREE 3691MB so nikijaribu kuweka mp3 zangu kwa njia ya bluethooth kutoka simu yangu nyingine hii nokia inasema kwamba NOT ENOUGH MEMORY TO PERFORM OPERATION...So bado sijajua mpaka sasa nimejaribu kucheck online for solution but sijapata kabisa...Kuna wataalam humu ndani naombeni msaada wenu please nini nifanye???
kifupi memory card ya kichina.tupa kanunue nyingine original kisha nayo ikikuzingua uje na swali.
Hili lipo na nimeshawahi kutumia memory ya 4GB na 8GB zilinigomea zote kwenye cm.ya nokia E61i na siyo moja nimejaribu mbalimbali zimegoma inakubali mwisho 2GB nadhani pia kuna limit ya memory kulingana na aina ya cm.
Unapotuma file (picha, muziki, app etc.) kupitia BT, kulingana na aina ya simu linapokelewa kama MESSAGE. Sasa kulingana na namna ulivyo set simu yako isevu wapi meseji zinazoingia, either ita-save kwenye phone memory au memory card.
Kulingana na maelezo yako simu yako ipokea meseji kwenye phone memory, ambayo nina kila sababu ya kuamini kuwa ni ndogo. (actually simu nyingi zinafanya hivyo--kupokea sms kwenye phone memory).
Nenda kwenye Messaging settings na uone kama kuna option ya kubadili save folder la messages. Endapo hakuna basi utahitajika kutumia PC ku-transfer files.
Hili lipo na nimeshawahi kutumia memory ya 4GB na 8GB zilinigomea zote kwenye cm.ya nokia E61i na siyo moja nimejaribu mbalimbali zimegoma inakubali mwisho 2GB nadhani pia kuna limit ya memory kulingana na aina ya cm.
hongera mkuu kwa majibu yenye mafanikio nikipongeza wote walo kupa majb mazuri walokuboa ucjali ndokawaida ya jamvini ila madamu umeshapata msaada niseme ucsite tena kulza