problem with conflicting application?show item.

problem with conflicting application?show item.

Masuonline

Senior Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
192
Reaction score
17
ndugu zangu wana jf nina simu aina ya nokia X2-00,tatizo ni kila nikitaka kudownload apps kama twitter, ovi store inaniandikia "conflicting application?show item" na tatizo lilianza punde nilipotaka kudownload app ya twitter kutoka ovi store ili kuchukua latest version, na nimejaribu kurestore all sim lakini imeshindikana na tatizo limeendelea hivyo hivyo kwa hiyo wana jf nilikuwa naomba msaada wenu maana kwa sasa apps si download jamani? Pia natanguliza shukurani zangu
 
Back
Top Bottom