Please help nokia asha202

Please help nokia asha202

pjv

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
64
Reaction score
9
Wana JF heshima yenu.
Nina simu yangu aina ya nokia asha 202 sina hata mwaka tangu nimeinunua,nimekuwa nikii-update mara kadhaa na kudownload applications kadhaa na kutumia mfano browsers mbalimbali,tatizo imekuja kukwama na kugoma kufungua application yake ya chat,na baadhi ya application kama store,kila nikifungua inaniambia 'conflicting items' nimeshajaribu kufanya factory restoring wapi!
Inafuta data zote lakini tatizo la kutofungua chat app na kusema conflicting items liko palepale!
Nifanyeje?
Nawasilisha.
 
reinstall firmware kwa kutumia nokia suite
CHIEF MKWAWA nashukuru kwa response,japo bado sijajua vizuri hii kitu firmware ndo nn japo ninayo nokia pc suite program ktk pc.
Manake nshajaribu hata ku-backup wapi?
Maybe ukinielewesha zaidi.
Thanx
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom