Problem of Marrying 'Models' and 'Divas'

jamani sijui niseme ngoja niache tu.....................
 
Hahahaaaa! Bofloooo! Mi nimependa hiyo staili ya kifagio aliyobana mkeo, amenikumbusha enzi relaxer haijaja, unakaa unachanwa na chana ya moto, afu unabanwa kifagio nyuma!!!! LOL!
 
inahuu......niache kusoma zangu Ebony....kwani nani hajachoka.......
 
Duh hii kali kweli ila siku hizi maadili yametereza sasa hadi kitanfa hawatandiki

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Boflo .. wewe subiri tu ... ipo siku itafika ... na utashangaa kama ndio huyo huyo uliomuoa au mwingine

Wanabadilikaga hao!

Tena naona ni bora hata hawa wa mjini kuliko hao wa Unyamwezini hao unaowasifia .... wa mjini keshaona mengi na akitulia ni vigumu kuhadaika ...

Ila hao wengine siku atakapokuja kuzibuka ... (hutaweza kumrudisha tena) ...
 

Hongera sana!
Swali la kizushi, sasa hapo huyo mkeo kawa ni mkeo tena au mtumwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…