Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely

Excellent tuko pamoja. Ila hujaweza kuwafanya lolote, tufanyeje ndugu? tututukane? basi, tuwavute baadhi yao waje chadema halafu tukiingia ikulu tuwashtaki? is not this the ultimate goal?

Mkuu,
Kumbuka CCM sio kwamba ni wajinga, wanajua mchezo na wanajua wakipoteza stage nini kitatokea. Ndio maana wanatumia mbinu zote kubakia madarakani. Kwa sasa wanatumia mbinu za hayati mubutu kupandikiza watu wao kila mahala. Ni kweli kumtukana mtu haisadii ila nakubali kuwamaliza kwa hoja. Kama upande wa pili utajenga hoja zenye mashiko na kuwa na mkazo siku zote, kuelimisha jamii kwa nguvu watatoka tu madarakani.

Kumbuka vyama vya kikomunisti vilijijenga sana kwa kutumia hofu kwa watu wake. Hivyo kuna kizazi bado kina hofu kuu. Na kwa upande mwingine ukumbuke ukimfungia paka chumbani ukaanza kupiga viboko akikosa pakutokea anakua chui. Wananchi wamefungiwa kwa muda mrefu huku wakichapwa sasa wamegeuka kuwa chui. Hapa wa kulaumiwa ni CCM wamezalisha kizazi kisicho amini utawala wa sasa wala haki mbele ya sheria. Kwa mtaji wa maisha haya no umeme, no maji, no barabara, no hospitali no haki no usawa, no sheria. usitegemee lugha safi.

Ukitembea mitaani kila mtu analaani serikali. umeme ukikatika kila mtu anatukana serikali. Juzi nilikuwa na waziri wa serikali ya CCM, umeme ukakatika akatukana serikali, nikamwambia kwani na wewe si sehemu ya serikali akasema huyu ngeleja bwana sijui ana nini. Kwa hiyo wengi tu wapo humo ndani ila nao wanaona moto.

Nchi inawaka moto, hakuna amani tena, hakuna utulivu. Ni bomu linasubiria kulipuka, tunaweza hata tusibalishane tena madaraka kwa amani kama busara hazitatumika mapema kurekebisha hali mbaya ya maisha. Kila mtu yuko tayari kuingia mtaani. Ukiona watu wanaandika lugha kali sana ujue mambo sio sawa. Wenye akili husoma ishara za nyakati, na wengine hupuuza. Mambo ya Misri, Libya, tunisia ni matokeo ya Viongozi kupuuza kuamini kwamba wao ni smart kuliko viongozi wote duniani. hili kosa linafanywa na serikali ya CCM. wanaamini wanaweza kuwadanganya wananchi wao milele.

Ukimwibia mtu usimletee mzaha tena. Ukimlia mtu chakula chake ukamwacha na njaa usimletee masihara. Ukimuulia mtu mwanae usimwone mjinga anaweza kufanya vituko vingi.
 
Pro-CDM-JF, mnatakiwa kuwa Breadth, sio kila kitu mnatoa matusi tu, CDM-JF, ndio mnakialibia chama kinaonekana ni chama cha Wahuni tu haya matusi yenu kama mgeyatoa kabla ya uchaguzi sijui kama mgepata ata jimbo moja la ubunge, kila kukicha mnazidi kuichafua CDM, imefikia wakati Wananchi wanawaona Pro-CDM-JF ni kikundi cha kutoa burudani kwenye Kitchen Party.
Watu wanazidi kuikimbia CDM kutokana ni nyie Pro-CDM-JF mmewagawa watu kwa chuki zenu za kidini, 80% Pro-CDM-JF, ni Pumba

Toeni mfano wa pro-CDM anayemwaga pumba kila siku humu jamvini!
 
Nimegoogle Eng Burton Bukuku aka ukoko sijaona hata mchango wake kwenye fani yake! Hata abstract kwenye local conference....he's useless ni mtu wa kuignore!
 
Pole mkuu! sijaona wa vyama vingine wakitukana humu kama chadema, muda wenu utakuja....however, you may read this for your benefit!
Kwa upande wa matusi Pro-CDM-JF. Ni mabingwa! ndio maana CDU wameliona ilo wakaamua kuwapeleka viongozi wao wakajifunze Maadili Ujerumani
 
Excellent tuko pamoja. Ila hujaweza kuwafanya lolote, tufanyeje ndugu? tututukane? basi, tuwavute baadhi yao waje chadema halafu tukiingia ikulu tuwashtaki? is not this the ultimate goal?

Ngoja nikusaidie kusamaraiz topic nzima injinia; Washabiki wa CDM acheni kutukana watu wasio washabiki wa CDM.
Next topic please...
 


Toeni mfano wa pro-CDM anayemwaga pumba kila siku humu jamvini!

huyu hapa

Pumbafu zako, yaani wewe unataka kusema hawa wanaochangia huku wametumwa na CDM kama chama kuja kuchangia na kutukana wengine?Use your commonsense man!!Hivi na wewe umetumwa na CCM?

wafuasi wa chadema wengi wanajifanya wajuaji... watu wajazba.. wasio jibu hoja kwa hoja... maandamano kwao ni accomplishment kubwa sana .. mimi sio CCM lakini chadema dah! wamezidi... CDM namkubali zito & Mnyika tu! waliobaki wooote na wafuasi wao ni sawa sawa na one minus two
 
Toeni mfano wa pro-CDM anayemwaga pumba kila siku humu jamvini!
Mwalimu.Kama Pro-CCM-JF, wanamwaga matusi humu JF na nyie Pro-CDM-JF, mnapata Excuse ya kutukana kila mtu atakae kuwa Against CDM?
 
Mwalimu.Kama Pro-CCM-JF, wanamwaga matusi humu JF na nyie Pro-CDM-JF, mnapata Excuse ya kutukana kila mtu atakae kuwa Against CDM?

Ooh so that's where the problem is sio?

Kwamba pro-CCM wakija humu jamvini na kutukana ovyo CDM makusudi kwa ajili ya kuchokoza watu wakae kimya??

Kumbe kuamua kujibu mipasho ya Pro-CCM humu jamvini tayari unakuwa branded kuwa wewe ni pro-CDM na kwa mujibu wa "Injinia" wewe ni mbumbumbu?
 
Are you real an engineer Mr. Burton? I've serious reservation with you!

If you are, then you're an OBTUSE engineer living in a different planet.

My one cent advise go back to the drawing board
 
Mimi si mwanasiasa nataka mambo yafanyike umeme, maji barabara n.k kama mmeshindwa kufanya hivyo wajinga ninyi nawatukama bila kujali wewe ni nani! Tena nawatukana sana tuu mpaka nipate ninachokitaka tena wajinga nawatukana mnoooo!
 
Siku moja nilikuwa nahubiri injili ya nyumba kwa nyumba. Nikakutana na bwana mmoja ambaye baada ya kumweleza habari za yeye kumpokea Masihi, nika-m-alert kuwa kuna jehunum ya moto! Akashtuka kidogo na baadaye akasema kwa dharau..it is OKEY nitachomwa kwa miezi kadhaa na baadaye nitazoea MOTO!!! He left and I loosed! My purpose was never accomplished!

Moyo wa binadamu una kiburi sana, inahitaji nguvu ya tofauti kuweza kugeuza imani ya mtu na mwelekeo wa mtu, wengi mmejionea jinsi ilivyo ngumu kumbadilisha mvuta sigara, is equally difficult to convince drunkard to stop drinking!

It is even difficult kumbadilisha FISADI akaacha kuiba, haihitaji matusi wala kejeli…you will never ever, never never win them…kitakachoendelea ni matusi na LENGO la kumbadilisha au ku-mconvert huyu mtu awe upande wako halitatimia!!!!

I tried to share this thought kwani pro-chadema wengi humu JF wanatia aibu na unaweza kuwahurumia kwa jinsi wanavyoweza kujipanga na kwa matusi na kejeli

I was expecting to hear Lole Gwakisa is converting to Chadema, I am eager to see W.C. Malecela is saying chadema is my home….I am not stopping INJILI YA MAGEUZI ikiwaingia wana CCMsi ajabu kuona Nape anasema naenda CHADEMA…home

But that will never happen, you can not win someone’s heart by attack, abuse and degradation etc. eventually both sides are equally self-righteous and judgmental


Msome huyu mrembo uone experience yake kwenye issue za politics uproar!


Here is an excerpt for you to read!
We’re at a turning point. We claim we want civility. But let’s be honest; what we really want is for the other side to shut up.

They’re not going to change until we do. They’re not going to start thinking bigger until we start thinking bigger.



I got to hear their unfiltered assessment of “those people.” You know, “those people” who don’t share our values, who don’t care about our country, or families or schools or God the same way we do.



It broke my heart, because I knew that their values were more alike than they were different.

I also knew there had to be a better way.

I spent the next five years studying the world’s greatest problem solvers, people like Albert Einstein, Thomas Jefferson and John Adams. I dissected conflict after conflict to identify which behaviors enabled people to solve their problems and which behaviors kept them stuck.

The result: The Triangle of Truth – a problem-solving model to rise above either/or thinking.

Based on the best practices of the world’s greatest thinkers, The Triangle of Truth is rooted in 7 core principles:

1. Embrace AND

2. Make peace with ambiguity

3. Hold space for other perspectives

4. Seek higher ground

5. Discern intent

6. Elevate others

7. Be the peace

The “I’m right so you must be wrong” paradigm isn’t working. It never did, and it never will.

There’s a critical turning point inside every conflict when the two parties either attack each other, or they attack the problem. These 7 best practices of The Triangle of Truth keep the focus on the problem.

Lisa Earle McLeod-article city; 7 Ways We The People Can Restore Civility


Go back to the title it is certainly disqualifying me what I have just taught you!!!! take it or leave it.....oh! focus on the problem, at least start to practise now, will be grading you!

I am not preacher anyway!

Engineer wa VETA
 
Tulianza kumsikia juzi engineer manyanya akimwaga pumba bungeni, hata kabla hatujapumua kajitokeza engineer burton na pumba zake ndani ya JF.

Katika hali kama hii mtu huitaji kuumiza kichwa chako kujadili utumbo wa engineer burton. Habari yenyewe ukiisoma tu unagundua pasiposhaka kwamba engineer mwenyewe ni mbumbumbu wa siasa.

Kama ndivyo, basi siona tatizo kwa mbumbumbu wa siasa za tanzania kama alivyo engineer burton kuwakejeli wapenda mabadiliko, wanamageuzi wa kweli hapa nchini kwa kuwa wameshajawa na wasiwasi, wanajua kwamba nchi hii muda si mrefu itakuwa chini ya utawala wa chama kingine na hiyo ni habari mbaya kwao, na chama hicho si kingine bali ni chadema.

Hii yote ni ishara ya kuweweseka kwa ccm na ndio maana wapambe wa ccm wanajaribu kujipa moyo na kutukana wenzao huku wakiwasingizia kutukanwa, katika hali kama hii engineer burton ukitukanwa ni halali yako kabisa.
 
Mleta mada ni Mkenya nini?au ni Sharobaro kula kulala? Naona kidogo Utanzania haujui vizuri mpaka achanganye na UK?
 
Ooh so that's where the problem is sio? Kwamba pro-CCM wakija humu jamvini na kutukana ovyo CDM makusudi kwa ajili ya kuchokoza watu wakae kimya?? Kumbe kuamua kujibu mipasho ya Pro-CCM humu jamvini tayari unakuwa branded kuwa wewe ni pro-CDM na kwa mujibu wa "Injinia" wewe ni mbumbumbu?
Mimi sio Pro-CDM wala Pro-CCM, mimi ni Independent Thinker lakini natukanwa kila siku humu JF, na Pro-CDM
 
... I tried to share this thought kwani pro-chadema wengi humu JF wanatia aibu na unaweza kuwahurumia kwa jinsi wanavyoweza kujipanga na kwa matusi na kejeli

... Nadhani hujawaelewa members wengi wa JF, they are not pro-CHADEMA but they are CCM HATERS!!
 
  • Thanks
Reactions: LAT




huyu hapa



wafuasi wa chadema wengi wanajifanya wajuaji... watu wajazba.. wasio jibu hoja kwa hoja... maandamano kwao ni accomplishment kubwa sana .. mimi sio CCM lakini chadema dah! wamezidi... CDM namkubali zito & Mnyika tu! waliobaki wooote na wafuasi wao ni sawa sawa na one minus two

Tatizo sio kujifanya wajuaji bali ni uwezo mdogo wa baadhi yenu kujua nani anajua na nani hajui. Hata kule bungeni mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge kadha wa MAGAMBA.
 
Back
Top Bottom