Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely

It is funny that one who posts a thread titled "PRO-CHADEMA WENGI ni MBUMBUMBU WA SIASA ....Let me Teach you once for all-freely!!"

Has the audacity to concurrently dispense advice to the effect of...

"The "I'm right so you must be wrong" paradigm isn't working. It never did, and it never will."

Practise what you preach Mr. religiosity shoving, Engineer title flashing, subconscious white man worshipping- in avatar- , bankrupt high-minded lowbrow, holier than thou finger wagging, brimstone sulphur and fire village preacher.

You are just embarassing yourself and the good people of your profession.
 
Siku moja nilikuwa nahubiri injili ya nyumba kwa nyumba. Nikakutana na bwana mmoja ambaye baada ya kumweleza habari za yeye kumpokea Masihi, nika-m-alert kuwa kuna jehunum ya moto! Akashtuka kidogo na baadaye akasema kwa dharau..it is OKEY nitachomwa kwa miezi kadhaa na baadaye nitazoea MOTO!!! He left and I loosed! My purpose was never accomplished!

Moyo wa binadamu una kiburi sana, inahitaji nguvu ya tofauti kuweza kugeuza imani ya mtu na mwelekeo wa mtu, wengi mmejionea jinsi ilivyo ngumu kumbadilisha mvuta sigara, is equally difficult to convince drunkard to stop drinking!

It is even difficult kumbadilisha FISADI akaacha kuiba, haihitaji matusi wala kejeli…you will never ever, never never win them…kitakachoendelea ni matusi na LENGO la kumbadilisha au ku-mconvert huyu mtu awe upande wako halitatimia!!!!

I tried to share this thought kwani pro-chadema wengi humu JF wanatia aibu na unaweza kuwahurumia kwa jinsi wanavyoweza kujipanga na kwa matusi na kejeli

I was expecting to hear Lole Gwakisa is converting to Chadema, I am eager to see W.C. Malecela is saying chadema is my home….I am not stopping INJILI YA MAGEUZI ikiwaingia wana CCMsi ajabu kuona Nape anasema naenda CHADEMA…home

But that will never happen, you can not win someone's heart by attack, abuse and degradation etc. eventually both sides are equally self-righteous and judgmental

Ndugu Burton mimi nadhani unakosea kuweka analysis zako vizuri ukifananisha na main topic, wewe umesha attack watu kwa kusema ni mambumbumbu nadhani umekosea sana na angalia nyekundu hapo juu totally contradicting issues compared to you main topic.

my friend practice what you preach dont be like members of certain ideology whose words and promises are never practical.

Katika mazingira yetu ya kiuchumi na kisiasa hapa Tanzania sasa hivi, inanipa taabu kidogo kuona umechagua kuandika kuhusu jambo kama hili. Katika kufanya siasa hapa Tanzania, mfumo uliopo ni wa vyama vingi vinavyotakiwa kusajiliwa. Hivi vyama ndio vinashiriki michakato rasmi ya kisiasa kama uchaguzi wa wabunge, madiwani, na urais. Vyama tulivyonavyo ni CCM, CHADEMA, CUF, NCCR, TLP - walau hivyo vina uwakilishi mkubwa katika uwanja wa siasa. Watanzania wa aina mbalimbali wenye maoni mbalimbali wanajikuta wanaunga mkono vyama mbalimbali ambavyo ama vinashabihiana au vinasogelea misimamo yao. CHADEMA ni chama ambacho kimevutia vijana wengi na hata watu wazima na wazee kwa kiasi fulani. Hata maandamano yao yanaungwa mkono na idadi kubwa ya Watanzania. Hilo halina ubishi. Haishangazi basi kuwa na watu wengi wanaounga mkono CHADEMA hapa JF.

Kama wanao uwezo wa kujenga hoja au uwezo wao ni mdogo, hilo haliwapunguzii haki yao ya kuwa na msimamo. Hata wewe una haki ya kuwa na msimamo wako. Tuseme una haki pia ya kupinga misimamo ya wengine - mradi ukubali kwamba wengine wanayo haki pia ya kupinga msimamo wako. Lakini naamini kwamba kuzungumzia mambo kama haya ni kupoteza muda, wakati tatizo hasa ni kwamba nchi yetu imeuzwa mchana kweupe na watu tunabishana kwamba huyu ni CHADEMA na huyu sio CHADEMA.

Tatizo kubwa la Tanzania sasa hivi ni Serikali ya CCM, ambayo haiwajibiki kwa wananchi wake. CHADEMA si tatizo ila inaweza kutoa ufumbuzi wa tatizo la CCM. Kama unaona CHADEMA haitoi ufumbuzi, tuambie ufumbuzi ni nini? Hiyo ndiyo hoja ya msingi.
 
You are very right my mate member hivi ndivyo hawa jamaa walivyo inatuwia vigumu hata sisi tunaopenda mageuzi kujoin nao kwani utaonakana na wewe ndio wale wale.

They are thinking like this,if you are not chadema you must be CCM!!! chadema wana kazi sana; credibility imeshuka, maana unashindwa kuelewa are these guys are expected to be future leaders, mbona wako wako tu kama vivuta bangi fulani vya kwetu Tandale?? kila post yao mipasho

ebu leta post ya mwanachadema mmoja ambaye utapata chakula cha kwenye brain!! hamna!
 
You are very right my mate member hivi ndivyo hawa jamaa walivyo inatuwia vigumu hata sisi tunaopenda mageuzi kujoin nao kwani utaonakana na wewe ndio wale wale.

my friend you are not a revolutionalilst as you claim,if you were you would remember that 'for the friendship of two , the patience of one is required" now how can you claim to be among them while you are against them? or you are so special? come on fellow be sincere.
 
Siku moja nilikuwa nahubiri injili ya nyumba kwa nyumba. Nikakutana na bwana mmoja ambaye baada ya kumweleza habari za yeye kumpokea Masihi, nika-m-alert kuwa kuna jehunum ya moto! Akashtuka kidogo na baadaye akasema kwa dharau..it is OKEY nitachomwa kwa miezi kadhaa na baadaye nitazoea MOTO!!! He left and I loosed! My purpose was never accomplished!

Moyo wa binadamu una kiburi sana, inahitaji nguvu ya tofauti kuweza kugeuza imani ya mtu na mwelekeo wa mtu, wengi mmejionea jinsi ilivyo ngumu kumbadilisha mvuta sigara, is equally difficult to convince drunkard to stop drinking!

It is even difficult kumbadilisha FISADI akaacha kuiba, haihitaji matusi wala kejeli…you will never ever, never never win them…kitakachoendelea ni matusi na LENGO la kumbadilisha au ku-mconvert huyu mtu awe upande wako halitatimia!!!!

I tried to share this thought kwani pro-chadema wengi humu JF wanatia aibu na unaweza kuwahurumia kwa jinsi wanavyoweza kujipanga na kwa matusi na kejeli

I was expecting to hear Lole Gwakisa is converting to Chadema, I am eager to see W.C. Malecela is saying chadema is my home….I am not stopping INJILI YA MAGEUZI ikiwaingia wana CCMsi ajabu kuona Nape anasema naenda CHADEMA…home

But that will never happen, you can not win someone's heart by attack, abuse and degradation etc. eventually both sides are equally self-righteous and judgmental

Ndugu Burton mimi nadhani unakosea kuweka analysis zako vizuri ukifananisha na main topic, wewe umesha attack watu kwa kusema ni mambumbumbu nadhani umekosea sana na angalia nyekundu hapo juu totally contradicting issues compared to you main topic.

my friend practice what you preach dont be like members of certain ideology whose words and promises are never practical.

Mkuu mbona hata mimi hilo nimeliona???

soma sentence ya mwisho

Go back to the title it is certainly disqualifying me what I have just taught you!!!! take it or leave it.....oh! focus on the problem, at least start to practise now, will be grading you!

ni wewe tu kusuka au kunyoa!!
 
Thread nzui sana engineeer.

Sasa nipe ushauri kwa sisi tusio na chama ebu malizia analysis yako kuhusu Pro CMM, Pro CUF, pro NCCR wao unawa generalise vipi.?
 
It is funny that one who posts a thread titled "PRO-CHADEMA WENGI ni MBUMBUMBU WA SIASA ....Let me Teach you once for all-freely!!"

Has the audacity to concurrently dispense advice to the effect of...

"The "I'm right so you must be wrong" paradigm isn't working. It never did, and it never will."

Practise what you preach Mr. Preacher.

Read my last sentence follower!

Go back to the title it is certainly disqualifying me what I have just taught you!!!! take it or leave it.....oh! focus on the problem, at least start to practise now, will be grading you!

you have failed!!
 
Thread nzui sana engineeer.
Sasa nipe ushauri kwa sisi tusio na chama ebu malizia analysis yako kuhusu Pro CMM, Pro CUF, pro NCCR wao unawa generalise vipi.?

Pole mkuu! sijaona wa vyama vingine wakitukana humu kama chadema, muda wenu utakuja....however, you may read this for your benefit!
 
Kwani hili li jamaaa limetokea wapi hapa? kama Pro CDM ni Mbumbumbu na wale wa CCM tuwaiteje sasa??? hili limeshapewa pesa kidogo linatupigia kelele hapa
 
Kwani hili li jamaaa limetokea wapi hapa? kama Pro CDM ni Mbumbumbu na wale wa CCM tuwaiteje sasa??? hili limeshapewa pesa kidogo linatupigia kelele hapa

Sorry I have delayed to mark your post

YOU HAVE FAILED BADLY!
 
Pumbafu zako, yaani wewe unataka kusema hawa wanaochangia huku wametumwa na CDM kama chama kuja kuchangia na kutukana wengine?Use your commonsense man!!Hivi na wewe umetumwa na CCM?
 
Read my last sentence follower!

Go back to the title it is certainly disqualifying me what I have just taught you!!!! take it or leave it.....oh! focus on the problem, at least start to practise now, will be grading you!

you have failed!!

You are more like a village preacher at an urbanite metropolis, out of place.

Don't make me do it cause I overdo it.

Murder macheting overzealous chest bumping bible thumping foolhardily righteous village preachers is a specialty I deliciously cherish.

You haven't addressed the contradiction your condescending word-view dished out. Typical of village preachers.
 
Well said Mkuu, hawa jamaa wanapenda kusifiwa na kujidaganya eti ipo siku watachukua nchi. Stori za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa kwao ndiyo burudani. Haishangazi hii thread haitachukua muda mrefu kabla ya kutupwa kapuni. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Kigumu Chama Cha Magamba! Kigumu! Zidumu Fikra Hafifu za Mwenyekiti, Zidumu! Nitapokea na Kutoa Rushwa Mpaka Nipate Uongozi (EPA na JK), Fitina Kwetu Ndo Mtaji (Sitta < Mwakyembe vs Lowassa < Rostam).
 
I am not preacher anyway![/quote]
siasa ni nini?
Hujajibu swali lako kumbe mbumbumbu ni wewe! Au umetumwa tu na mafisadi kuhubiri kabla hawajashukiwa.
 
I am not a preacher anyway!

Please don't you have anything to do? Why attack Chadema members so that? Do you want everyone to be Pro CCM as you are? A foolish democracy!!!
 
Mimi sina maoni kuhusu usahihi wa tuhuma zilizotolewa na Bukuku na ninafikiri zimekuja za jumla sana. Hata hivyo baadhi ya michango katika mijadala ya humu jukwaani imekuwa ikichukua mkondo wa ushabiki wa kiasiasa wakati mwingine hata kuharibu mantiki ya mada husika na hata kugeukwa kuwa uwanja wa vita vya kisiasa. Kwa bahati mbaya tatizo linakumba hata wachangiaji waandamizi.
 
Pro-CDM-JF, mnatakiwa kuwa Breadth, sio kila kitu mnatoa matusi tu, CDM-JF, ndio mnakialibia chama kinaonekana ni chama cha Wahuni tu haya matusi yenu kama mgeyatoa kabla ya uchaguzi sijui kama mgepata ata jimbo moja la ubunge, kila kukicha mnazidi kuichafua CDM, imefikia wakati Wananchi wanawaona Pro-CDM-JF ni kikundi cha kutoa burudani kwenye Kitchen Party.

Watu wanazidi kuikimbia CDM kutokana ni nyie Pro-CDM-JF mmewagawa watu kwa chuki zenu za kidini, 80% Pro-CDM-JF, ni Pumba
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom