Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
Habari yenu!
Kwa wale ambao wana watoto wanaosoma primary na wanahitaji msaada wa masomo basi hapa umefika mahala stahiki.
Hii ni kwa wakazi wa dar tu.
Mwalimu ni wa kiume (24) amehitimu diploma ya ualimu na kufaulu vizur tu. Sasa hivi anafundisha twisheni ya jioni wanafunzi fulani lakin jumamosi na jumapili yupo free.
Mwalimu ni compitent na nwenywe maadili ya ualimu. Anathamini kazi yake na pia anajuhudi nyingi sana katika ufundishaji wake kuhakikisha mtoto anaelewa na kufaulu katika masomo yake.
Bei ya kumlipa ni maelewano na pia itategemeana na mahali ulipo pamoja na muda unaotaka wafundishwe.
Ni pm kwa mawasiliano zaidi.