kupitia simu yako ni vigumu kupata number ingawa kuna thread humu inaonyesha code ambayo ukiweka unaweza kuona number hata kama ni private (Binafsi sijawahi kutumia), Au unaweza kwenda katika moja ya ofisi inayokupatia huduma ya mawasiliano watakupatia number.