Hahaha mkuu hilo gari lina historia ndefu sana......Hongera kwa kununua gari nyingine
Safari zangu mara nyingi nafanya peke yangu au pengine naweza kupakia mtu mmoja kwa ajili ya kupiga nae story njiani na hy ninaweza kumchukua hata njiani ila vigezo vyote vya usalama wangu navizingatia. Safari zote ndefu nafanya hivo na nikiwa na haraka natembea pekee.Mambo vipi wakuu...
Nimeona nililete hili swali hapa coz mara nyingi limekuwa likinisumbua sana... Na hii inatokana na historia yangu ya huko nyuma mana gari ya kwanza kuimiliki ilkuwa ni spana mkonon/ESCUDO.. Yana niliujua ufundi pasipo kupenda ilifikia kipindi nikakosa kabisa mzuka na gari kwa kero nilizokuwa naexprience...
Zile effects leo zimenifanya nije kuuliza hapa but gari niliyonayo now ni RAV4, 2004, 1750CC, VVTi Mzigo ni wa hivi karibuni..
Safari zangu ni mara 1 either 2 kwa mwezi Dar- Arusha- Mwanza then Dar
Nimezingatia matairi, break, makorokoro ya alama, fire, spana,
Belt, jack n.k yote yapo
Nataka nitoke nikiwa mwenyewe kwa kuanzia Dar Arusha na ndyo long safari yangu ya kwanza... Je kuwa mwenyewe kwa safari yote hiyo ni salama???
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu.... Umeniongezea kitu.Safari zangu mara nyingi nafanya peke yangu au pengine naweza kupakia mtu mmoja kwa ajili ya kupiga nae story njiani na hy ninaweza kumchukua hata njiani ila vigezo vyote vya usalama wangu navizingatia. Safari zote ndefu nafanya hivo na nikiwa na haraka natembea pekee.
Cha kuzingati
- Heshimu sheria za usalama barabarani. Overtake isiyozingatia sheria za usalama ni hatari
- Usile hovo hovo njian na kushiba sana, usije jikuta unasinzia na kugonga au kuangusha gari njiani.
- Usibebe kila mtu njiani, ni hatari.
- Ukiona umechoka paki upumzike, ni hatari kuendesha gari ukiwa umechoka.
- Ikiwa umeendesha gari usiku kwa masaa mengi hakikisha muda wa saa 10 hadi saa 12 kasoro asubuhi unapumzika maana muda huo ndo madereva wengi hujikuta wanasinzia na kuangusha magari. Tambua kuwa hata binadamu yeyote anayekosa usingiz ukifika muda wa kuanzia saa 9 hadi 12 alfajiri ni lazima asinzie.
- Ikiwa unasafiri usiku ni vyema ukaanza safari zako kuanzia saa 7 usiku baada ya kuwa umelala kwa masaa kadhaa kabla. Lakini uzingatie usalama wa njiani kwani muda huo magari ni machache barabarani ukipata tatizo hutapata msaada tofauti na muda wa kuanzia saa 10 alfajiri ambapo watu wengi wanakuwa wameanza kuingia barabarani.
Kila la heri na gari jipya mkuu, hongera.
Thanks...ni salama ila ukiona umechoka paki lala usiendeshe na uchovu... usiku kama eneo hulifahamu vizuri bora usubirie kukuche...
daah huyo jamaa ni hatari sana huo mwendo ni balaaKuna chalii ni fundi magari anatokaga Dar-Arusha kwenye saa 10 alfajiri...
By saa 3 asubuhi yupo Arusha mjini.. Muhimu uwe makini tu barabarani, jamaa anatembeza noah speed 140 hapo ndio wastan wake akipata mnyooko anakandamiza 160km/h
Kuna mtu ataitwa mjane sio mda mrefu kupitia dereva uyu.Kuna chalii ni fundi magari anatokaga Dar-Arusha kwenye saa 10 alfajiri...
By saa 3 asubuhi yupo Arusha mjini.. Muhimu uwe makini tu barabarani, jamaa anatembeza noah speed 140 hapo ndio wastan wake akipata mnyooko anakandamiza 160km/h
Mambo vipi wakuu...