Sure kulko kujbana kwenye gar ya mtu n bora udake sgr sa kumi na moja sa tatu uko dodomaNenda sgr utapata tiketi.
Hiyo hela ya kukodisha gari hata nauli ya ndege inatosha, labda kama ana mishe na misele yake njianiNenda sgr utapata tiketi.
Nahitaji usafiri wa kuanzia saa 3 asubuhi. Sgr inaondoka saa 11 alfajiriNenda sgr utapata tiketi.