Prisons Yaweka HIstoria ya Mabao VPL

Prisons Yaweka HIstoria ya Mabao VPL

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
MBEYA BAO LA MAGOLI.jpg
 
hii ni zaidi ya Rugby Mentor
 
Jamani leo ni April mosi au mmekosea? hiyo jkt ni oljolo au ruvu?
 
Prisons jana iliifunga mabao 6-0 JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Mbadilisha matokeo kwenye bango la matokeo Uwanja wa Sokoine jana alifanya kazi yake vizuri, ilikuwa kila bao likifungwa anaweka kibao kinacholingana na idadi ya mabao, lakini kufika bao la sita akatafuta kibao namba 6 hakipo na kwa fikra za haraka akaona bora aongeze kibao namba moja mbele ya tano kupata mabao sita, lakini ikawa inasomeka 51-0.
 
Dah huyo jamaa nimemuogopa kwa ubunifu wake, ni kama Rage anayeuza wachezaji nyota kwa mali kauli.
 
matatizo ya afrika yanashughulikiwa kwa mbinu za kiafrika
Prisons jana iliifunga mabao 6-0 JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Mbadilisha matokeo kwenye bango la matokeo Uwanja wa Sokoine jana alifanya kazi yake vizuri, ilikuwa kila bao likifungwa anaweka kibao kinacholingana na idadi ya mabao, lakini kufika bao la sita akatafuta kibao namba 6 hakipo na kwa fikra za haraka akaona bora aongeze kibao namba moja mbele ya tano kupata mabao sita, lakini ikawa inasomeka 51-0.
 
Hahahaa ana akili sana huyo katoa ujumbe kwa TFF na vyama vya mikoa kwamba goli sita hata kumi zinawezekana waandae vibao
 
Halafu ilikuwa mechi ya ligi kuu.
Jiulize vimbwanga vya daraja la 2 ama la 1 vinakuwaje.Usinipe jibu!!

Azam tv kuonesha live hii ligi ni kuidharirisha TFF na Wizara inayohusu michezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom