PRISONS OF.WAR (POW) USA vsTALIBAN

PRISONS OF.WAR (POW) USA vsTALIBAN

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
Marekani wamekuwa na kauli mbiu “ they dont negotiate with terrorists“

Baada ya juzi kubadilishana wafungwa wa kivita 1 wa marekani kwa wa5 wa taliban.

Wamejiangusha wenyewe kutofuata msimamo wao.
Je yule sergeant alikuwa ni muhimu kiasi cha US kukiuka msimamo wao???!!!

Je lilikuwa ni suala la kupatanisha pande mbili zilizo ktk vita??

Au ndo secret mission kuwatoa wakuu wa taliban ili baadae wachapwe na drones??!!

My take
japo wamefanikiwa kumrudhisha nyumbani POW wao wamepoteza mechi kwa kuabishwa kama spain alivyochakazwa 5 kwa 1 na uholanzi.

Angalia jinsi vita iliyoibuka iraq ,taliban
 
Back
Top Bottom