Ile ndo series aiseee...Nairobi mkali sana napenda ile brezia yake nikiiona tu lazima dushe isimame....ila prison break ni kitu kingine kaka hakuna series itakayotoka Kali kwa karne hii kama prison break
Yaan kama agent Alex mahone angekuwepo kwenye money heist wale jamaa wote wangekamatwa mapema sana na series ingeishia season 1.over....
@rikiboyMoney heist hadi sasa akili bado inagoma kuiita Best series...Bado sana yani hata Vikings ni Best zaidi
Nairobi ningekutana nae ningetumia hata waganga kumtongoza,, yule dem mkali kinomaNairobi mkali sana napenda ile brezia yake nikiiona tu lazima dushe isimame....ila prison break ni kitu kingine kaka hakuna series itakayotoka Kali kwa karne hii kama prison break
Nairobi mbona ana pua kubwa sana nadhani Tokyo amemzidi ukali🤔🤔Nairobi ningekutana nae ningetumia hata waganga kumtongoza,, yule dem mkali kinoma
Madem wa kawaida tu mle.. mm namwelewa Monica tu!..Nairobi mbona ana pua kubwa sana nadhani Tokyo amemzidi ukali🤔🤔
Same here, na Berlin nilikuwa namkubali sana.Kifo cha Berlin na Mosow don't know kama sikulengwa lengwa
Yep Monica ni afadhali kwa mtazamo wangu piaMadem wa kawaida tu mle.. mm namwelewa Monica tu!..
Berlin nilikua nampenda anavyodeal na serious moments without any temptation. .Same here, na Berlin nilikuwa namkubali sana.
Ninazo nyingi lakini pia huwa nazifuta. Kwa uchache nilizonazo ni;Berlin nilikua nampenda anavyodeal na serious moments without any temptation. .
Una series zipi..?
Madem wa kawaida tu mle.. mm namwelewa Monica tu!..
Wooow nimependa list yako.. je naweza zipata.?Ninazo nyingi lakini pia huwa nazifuta. Kwa uchache nilizonazo ni;
Hostage
Ingobernable
Money heist
Suburra
The last ship
American odyssey
Ballers
Agent x us
Tyrant
Homeland
Power
Monkeys
Being mary jane
If loving you is wrong
Bates motel
Beauty and the beast na nyingine kadhaa.
Nipe list yako.
mkuu inavitia sana wanavyotombana umo ndani hao kina Nairobi, tokyo safi sanaMoney heist ni series ya kipuuzi sana sijui watu wanaipendea nini?
Series ya kitoto toto sana haina ladha!
alikiri kuwa he is a gayNope. Jamaa sio shoga kabisa