Prison Break vs Money Heist

Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyosema

Ipi series nzuri hapo juu kuanzia uhusika mpaka series yenyewe ipi ni nzuri hasa zaidi tukiwazungumzia wahusika wakuu PRISON BREAK unamkuta Michael Scorfield na huku katika Money Heist unamkuta Sergio Marquina au Profesa

Japo kila mtu alikuwa na mission tofauti mmoja alikuwa anataka kutoroka katika magereza yenye ulinzi mkali kwa Prison Break na wa Money Heist alikuwa anacheza na askari kibao ili aweze kubaki mule ndani ili aweze kuendelea kutengeneza na afanikiwe kuwakimbia

Prison Break kuna kina Mahone,T~Bag,Sara na wengine.

Money Heist kuna kina Berlin,Moscow,Tokyo,Rio na Demu ninayempenda namsubiri aje bongo nimtongoze Nairobi.

Hakikisha umeangalia zote vizuri ila Money Heist hata ukiishia season ya pili.

N:B Muda mwingine tufurahie kwa kujadili vitu vyepesi na siyo kujiumiza kwa siasa za Tanzania zisizoeleweka
Money heist the best series kwangu coz wametumia akili sana kulinganisha na prison break....Professor
 
Prison break ndo best kwangu money heist naion ya kawaid sana, season four ndo mbovu kabisaa
 
Kiboo..zotee mbayaaa..niliangalia hiyo break prison nikawa nasinzia tu..hiyo nyingine kama ndio itakuwa na madhui ya prison break nayo itakuwa mulemule
 
Prison break ni habari nyingine uwezi compare ni hiyo heist ambayo nimejaribu kuangalia lakini nakuta nalala kila mara hata season one nimeshindwa kuimaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjaangalia Prison Break nimeangalia Money Heist lakini nmefatilia kidogo prison break ukiangalia Money Heist proffesor ana kila kitu ambacho anaweza kukitumia katika mission zake lakini prison break jamaa hana chochote isipokuwa akili yake tu japo cjaangalia naona PB ni bora zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan watoto wadogo ndio wanaona money heist ndio kali ila prison break unaweza angalia mara hata tano bila kuchoka , Ilipangwa ikapangika prison break ni hatari jaman hata huko sehemu zingine wamezishindanisha watu wanaosema PB NI HATARI NI WENGI KULIKO WA MH


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ninazo nyingi lakini pia huwa nazifuta. Kwa uchache nilizonazo ni;
Hostage
Ingobernable
Money heist
Suburra
The last ship
American odyssey
Ballers
Agent x us
Tyrant
Homeland
Power
Monkeys
Being mary jane
If loving you is wrong
Bates motel
Beauty and the beast na nyingine kadhaa.

Nipe list yako.
Mkuu ndio ukaninyima series 😞😞
 
Prison break ina viwango vyake kuifananisha na money heist ni kuikosea heshima. Huyo prof hana lolote jipya, scofield ni character aliyeicheza scenes kwa ufasaha mno
 
Money Heist Imekuwa Overrated Sana Sababu Hivi Karibuni Hakuna Series Kali.


Pia Netflix kama walivyo ni sawa na EPL wameweza kujitanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom