24 kali jamani..prison break kuna watu wamecheza kwa kiwango sana kama sucre na mahon yaan balaa...ila yule sara sidhan kama alikuwa ni proper katika nafasi yake..nahisi amepooza hata ukimuangalia machoni...wangemtafuta mrembo wa ukweli mchangamfu ingekuwa poa zaidi...na kiboko ni teabag duuh....huyu jamaa ni noma..