Prison break season 5 updates

Prison break season 5 updates

Nadhan waandaaji wa hii kitu wanatumia akili nying sana kukwepesha matukio yasigongane na kuweka usawa lazima mmoja awe mjanja kwa mwenzake
Mm jinsi Michael alivyofungua ule mlang wa Jacob nimemkubal san
 
Sikuexpect ile epsde ndo iwe ya mwisho..imekuwa na complicated ending
 
Daaah ila whip kajitakia mwenyew kufa koz aliambiwa na maiko this is my fight now akajikuta mtabe

Tbag inaonekana yeye ndo nyampara kule fox river

Duuhh alaf mpk kumbe wale maofisa wa FBI walitaka cjui kumwajiri maiko Naona aliwajibu I'm not looking for job itakuwa walielewa harakat zake

Ila sheeba mzuri jaman
 
Naipata wapi hii Series iliyotafsiriwa kiswahili toka ya kwanza hadi ilipofikia..... Mwenye nayo anisaidie (Arusha)
 
Back
Top Bottom