Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,264
Tumesikia wiki iliyopita Nchi ilienda kukopa world Bank Bilioni 200 kwa ajili ya kufufua shirika la Tanesco.
But miezi iliyopita tumeona Mkuu akisema tumeshalipa cash ndege sita ambazo mbili teyari zimeshafika. Kuwa na ndege jambo zuri sana..lakini unalipia sita kwa Cash huku huna bilion 200 za kufufua Tanesco. Shirika la Tanesco linajiendesha kwa hasara kila Siku.
Priority ni ipi kwanini usitoe billion 200 kwa tanesco then ndege ukanunua kwa awamu badala ya Cash. Umeme wa uhakika unaleta maendeleo haraka zaidi ya ndege sita. Ndege zenyewe bado nyingne hazijafika.
Serikali lazima ijali social aspect katika mipango ya Nchi. Umeme ni muhimu sana kuliko ndege sita. Multiplier effect ya tourism kwa uchumi siyo ya haraka zaidi ya umeme. Umeme imara utavutia wawekezaji siyo huu umeme was kukatika katika.
Yaani sawa unanua gari 5 kwa Cash kwa milioni 60, alafu unaenda bank kukopa mkopo wa milioni 20 kwa ajili ya chakula tena mkopo wenyewe unariba kubwa.
Ogezeko la bei ya umeme Tanesco halikwepeki, muda ni rafiki mzuri.
Kupanga ni kuchagua.
Tushauri kwa heshima na Adabu. Na tujue mamlaka ya Rais wa JMT.
Pitia pia Uzi wangu huu
Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi