Priority ni ipi kwa Nchi? Kununua ndege sita kwa Cash au kukopa billion 200 kufufua Tanesco

Suala la kununua ndege sote tunajua rais wetu alikosea na hata yeye anajua hivyo japokuwa hataki kukiri hivyo. Tatizo kubwa ni kwamba anaogopa kuonekana amekosea na hapo hapo anaendelea kukosea. Kukosea umekuwa ndio utamaduni wa kawaida kwa sasa chini JPM.

Issue ya TANESCO huenda ikammaliza kabisa kisiasa JPM, ameshindwa kabisa kujipanga na ameishia kukurupuka kufukuza na kutoa matamko.
Baada ya muda tu, ataanza kuona athari zake.
 
A point of correction! Anaomba mkopo wa dollar million mia mbili ambayo kwa rate ya 2223 ni bilion 444 so siyo bilion 200!
 
Zamani nilikuwa naamini Rais ni mtu mwenye akili kupita watu wote.
Ulikosea sana. Pamoja kuwa na maamuzi ya mwisho, rais lazima akumbuke urais ni taasisi. Hili likijulikana he will be more of a manager than a ruler.
Nawaza tu.
 
Back
Top Bottom