Printer ya Epson inahitajika

Printer ya Epson inahitajika

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Natafuta printer ya epson yenye uwezo kuprint colored paper, photo, cd cover na kadi. Nataka inayotumia wino wa kuchakachuliwa wa aina zote na wino wa nje wa kuongeza na vichupa.
Mwenye nayo anipm pesa ipo cash tukielewana bei.
 
ipo ds 500
 
IPO nicheki 0653
 
EPSON L800 ndio kiboko.. lete laki 8 nikupe ni mpya kabisa
 
Back
Top Bottom