Printer hp inauzwa...

Printer hp inauzwa...

SectionTwenty

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
675
Reaction score
614
Printer Hp laser jet P1102 inauzwa.. Ni MPYA (haijatumika kabisa.) Bei ni 250,000 nipo DSM.
For more contact na picha nicheki "Private Message"
 

Attachments

  • 1436631108535.jpg
    1436631108535.jpg
    50.7 KB · Views: 226
Mkuu hii ifuatayo ndio laserjet p1102 ninayoijua mimi

images


Ila dukani mpya na boksi lake ndio hio hio bei tena inakuja na wino 85a wa kuanzia ingawa huu wino huwa haujajazwa full
 
Mkuu hii ifuatayo ndio laserjet p1102 ninayoijua mimi

images


Ila dukani mpya na boksi lake ndio hio hio bei tena inakuja na wino 85a wa kuanzia ingawa huu wino huwa haujajazwa full

bei ya kuanzia hiyo mkuu ila inashuka
 
picha uliyoweka mbona tofauti na hii p1102 zipo sawa au yako ni tofauti sababu kama ni tofauti huenda watu wanadhani ni hapo chini which is cheaper

images
 
Mimi nahitaji printer ila kubwa..
Kama kuna mtu anaweza kuwa na yenye spcs zifuatazo,tufanye biashara:
1. speed at least 50ppm
2. all-in-one,scanning,printing & copying.

Mtu yeyote anayefahamu naweza kuipata wapi na tsh naomba anisaidie.
Mimi nipo mbeya/moshi.
 
Toa vibudu vyako hapa, watu tunataka story za maana wewe unaleta printa nini sijui!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom