tumia lugha yetu mkuu kama ulivyoitendea haki katika kichwa. rejea '....... INAUZWA'
haya 'mayes yes mzungu kala mafenesi' waachie May na Trump au mkuu @nyaningabu and co.
matumizi ya msamiati SOLD tena zaidi ya maramoja yameshaharibu mwendelezo wa tangazo lako. sasa linajitanabahisha kuwa lengo lilishatimia, nawe unatuhadithia yaliyofanyika. labda ngoja waje waliozoea kupindua ndimi watie neno pengine nipate cha kuokoteza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.