JahajajajajajajaajauauNime google nimeelewa inamaanisha maelfu mfano 10k maana yake ni 10,000.
JahajajajajajajaajauauNime google nimeelewa inamaanisha maelfu mfano 10k maana yake ni 10,000.
Hapo kwa kimK hata me huwa nashangaa, na kama sikosei ndio anaongoza kwa follwer wengi zaidi dunia nzima anao 68.8mKwanini ushangae huyo wakati hata marekani kwa wenzetu wakina kardashians wanazaidi ya followers mil 50 (yani zaidi ya watanzania wote, na hakuna la muhimu wanaliifanyia jamii bora hata shilole anawaburudisha watu)