Prince Dube kila kitu Azam FC

salimu alute

Member
Jun 9, 2019
21
22
Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini.

Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa miaka 4 sasa.

Dube anahusishwa kutaka kutafuta maisha mapya ‘Kariakoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom