Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,985
Reaction score
189,557
Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans.

Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka.

Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa katika league yetu ya Tanzania tunaimani atafanya vyema hata mashindano ya nje.

Ikumbukwe hadi sasa wameendeleza ubabe wa kuchukua mara tatu mfululizo na kwa kikosi hichi hakuna team itakayoisumbua Dar Young Africans ndani ya Tanzania na African kwa ujumla.

Prince Dube ataungana na Pacome, Stephan Aziz Ki, Clatous Chota Chama, Khalid Aucho, Max, Mudathir na wengi katika kikosi cha Young Africans kwa mwaka 2024/2025 na 2025/2026.

20240707_005836.jpg
182720762.jpg
2138418868.jpg
 
View attachment 3035294
Huyo mwamba hapo ualaza ushaanza kumnyemelea ila unaambiwa ni kinda la miaka 21 ligi ianze tu tuanze kusikia kelele za mangungu tuachie timu yetu
Wachezaji wengi wa bongo ni vibabu, kuna mmoja hv wa Yanga ety ana 27 yn mm nmempita mwaka mmoja ila ukimwangalia utadhani ni babu yangu
 
Back
Top Bottom