hivi kabla ya kuandika kitabu cha 'Tumaini lililolejea' alishawahi kabla ya hapo kuandika hata makala kuelezea ni jinsi gani jamii yake imeporomoka kimaendeleo (uchumi/elimu) na ni jinsi gani ya kurudisha (restoration) hiyo hali!?Pia ni mjinga sana mbona asitetee wahaya na wao walipwe fidia ya migomba yao kama wakuleeeee wanaolipwa Ng'ombe baada ya kufa kwa ukame anakuja na agenda za kizamani tena za mkoloni kweli wameshikwa pabaya mbaka 2014 watakuwa wamechanganyikiwa
Kada wa chama cha mapinduzi na mwanasiasa mkongwe nchini Prince Bagenda amekishambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kwa operesheni yake ya M4C inayotishia uhai wa CCM.
Katika makala yake ndani ya gazeti la RAI Prince Bagenda amedai M4C ni chama kipya cha siasa ndani ya CDM na kusema hali hiyo ni hatari kubwa kwa ukuaji wa chama hicho na amesema utatokea mvutano mkubwa kati ya wafuasi wa CDM na wafuasi wa itikadi ya M4C.
Bagenda pia amesema kampeni ya M4C wanayoongoza nchi nzima inatangaza sera za shari na chuki.Pia amesema CDM walipata kura nyingi uchaguzi mkuu uliopita kutokana na vita ya makundi ndani ya CCM na kamwe si kutokana na chama hicho kuwa na sera nzuri.Amesema CDM hawana Itikadi inayoeleweka hadi sasa ndiyo maana mpaka sasa wajanja kama yeye wako CCM.
Source:RAI Alhamisi
My Take:
Prince Bagenda alishiriki kusambaratisha chama cha NCCR Mageuzi baada ya kuongoza mgogoro mkubwa huku akikimega chama vipande viwili na yeye akiwa Katibu Mkuu kambi ya Mrema.Baada ya kufanikisha kusambaratisha NCCR,Prince Bagenda alihamia CCM ambapo hadi leo yeye ni kada mwaminifu wa CCM.
Pia ni mjinga sana mbona asitetee wahaya na wao walipwe fidia ya migomba yao kama wakuleeeee wanaolipwa Ng'ombe baada ya kufa kwa ukame anakuja na agenda za kizamani tena za mkoloni kweli wameshikwa pabaya mbaka 2014 watakuwa wamechanganyikiwa....................................
Hivi huyu alishaacha kazi kule TISS?? Au naye anaendelea kama mzee wa Kiraracha?
Hata hivyo, hana jinsi zaidi ya kutumikia wale wanamuweka mjini!!
Ila ingekuwa bora akajikita kujadili yale mambo anayoyajua vizuri kuliko kudandia treni kwa mbele. Na hata hivyo, inaonesha ana hang over ya kutisha....Anaposema kuwa makundi ndani ya lichama lao la CCM yalinufaisha CHADEMA, ana maana kuwa kwa sasa makundi hakuna??
Ni bora akakaa kimya ili tuzidi kumsahau.....Hivi hawa jamaa wa BKB wana matatizo gani??....au ndo mwendo wa kutafuta mkate kama ndugu zake Salva na Mhingo Rweyemamu?.................
kuitetea ccm inahitaji uwe na akili ya maiti.
Hivi bado kuna watu wanamchukulia huyu Bagenda kuwa ni mtu serious?.................
Kada wa chama cha mapinduzi na mwanasiasa mkongwe nchini Prince Bagenda amekishambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kwa operesheni yake ya M4C inayotishia uhai wa CCM.
Katika makala yake ndani ya gazeti la RAI Prince Bagenda amedai M4C ni chama kipya cha siasa ndani ya CDM na kusema hali hiyo ni hatari kubwa kwa ukuaji wa chama hicho na amesema utatokea mvutano mkubwa kati ya wafuasi wa CDM na wafuasi wa itikadi ya M4C.
Bagenda pia amesema kampeni ya M4C wanayoongoza nchi nzima inatangaza sera za shari na chuki.Pia amesema CDM walipata kura nyingi uchaguzi mkuu uliopita kutokana na vita ya makundi ndani ya CCM na kamwe si kutokana na chama hicho kuwa na sera nzuri.Amesema CDM hawana Itikadi inayoeleweka hadi sasa ndiyo maana mpaka sasa wajanja kama yeye wako CCM.
Source:RAI Alhamisi
My Take:
Prince Bagenda alishiriki kusambaratisha chama cha NCCR Mageuzi baada ya kuongoza mgogoro mkubwa huku akikimega chama vipande viwili na yeye akiwa Katibu Mkuu kambi ya Mrema.Baada ya kufanikisha kusambaratisha NCCR,Prince Bagenda alihamia CCM ambapo hadi leo yeye ni kada mwaminifu wa CCM.
Aiteteaye CCM aidha ni ignorant, au ana masilahi ya kifisadi. Prince huenda anaangukia sehemu ya piliKuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.