Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,928
- 107,396
Mkuu ongea taratibu utasikiwa! Hapo kwenye nyekundu iliyokolea huwa anavaa wakati wa kampeni ili kama vipi kama igunga si unakumbuka yule mkuu wa wilaya mkatoliki kule igunga aliyewahadaa wasiomfaham?
Nimependa sana picha hii! Mbali ya ukweli kuwa wahusika wanatoka Uarabuni yaani Makao Makuu ya Uslam hamna cha mtandio wala hijabb wakati huku tunapigania maadali sijui nini sijui nanii! Cha ajabu hata mama Salma mwenyewe amesahau maadili ya mama wa Kiislam! Ama kweli tuna waumini madhubuti!
FaizaFoxy upo hapo?
Kwanza amekosea huyo sio Prince Al Waheed, hakuna Prince nimjuae mwenye jina hilo. Labda kamaanisha Prince Walid Bin Talal? (au wengine huandika Al Waleed).
Aweke sawa facts kwanza kabla sija "comment".
mbona hata huyu prince ni bwabwa huna habari uliza wanaofanya kazi Loliondo wakwambie huwa wanatua na watu wa aina gani kufanya ufirauni wao hapa nchini? mpwawe anasota rumande maisha huko UK! tatizo lenu ndg Waislam wa hapa TZ tuko Wanafki! Huyo jamaa hana cha Sharia banking wala babake nani! mahela yake yoote yako ng'ambo na hawa jamaa ni WahhabiKutovaa ushungi na midume kuoana bora nini? We unaona ya waharabu tu ya yule shoga wa uk wala usemi !
Mbona Igunga ilipimwa kwa mtandio wala si hijab au burqa?subiri waje hapa!
Ila imani ya rohoni haipimwi kwa mavazi. Huo ni mtazamo wangu tu lkn. .
Kwanza amekosea huyo sio Prince Al Waheed, hakuna Prince nimjuae mwenye jina hilo. Labda kamaanisha Prince Walid Bin Talal? (au wengine huandika Al Waleed).
Aweke sawa facts kwanza kabla sija "comment".
mama yoyoo kwa numaVasco Naye hakukosekana kama Kawaida